- Thread starter
- #41
A billion dollars invested in Tanzania by TIGO a mobile phone company
Mkuu nyangau atajinyonga kwahizi video unazoweka. Weka akiba nyingine. Wasamehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A billion dollars invested in Tanzania by TIGO a mobile phone company
Poĺe kama wifi imekataIngelikuwa Dkk 2 ningelijitahid kumsikiliza
amemtimua Kenyatta kama paka mwizi Arusha. Tusubiri hatua zifuatazo. Huyu ha-beep anapiga kabisa. Mazara alolalamika miaka 10 yoke yards Kikwete jamaa akachekacheka huyu anatwanga tu!Mwanzoni kabisa mkuu. Pia katikati. Anadai uzushi wa Kenya kuhusu Dangote najinsi wanavyo ujumu viwanda vya maziwa Tanzania
MudaMB zinakutesa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsi
Mwenzenu hapo juu anasema juisi na pipi kwenye ikulu ni ishara ya uchoyo na ubinafsi.Hayo ndomatumizi mazuri ya kodi za wananchi. Tenaingebidi wasingepewa chochote hizo pesa zikatumika kununuliwa dawa. Ikulu sio hotel au restaurant
wala hakusoma the East Africa. Nani ka kwambia??Jaribu kuangalia Aljazeera kwa wiki moja alafu uswitch uangalie BBC/CNN kwa wiki moja alafu uswitch uangalie CGTN. Na uone tofauti ya vile kila nchi yenye inamiliki hizo media zinavyo jaribu Ku control global influence kwa kuji portray kama hao ndo wakombozi au world leader wa kila kitu.
Kama mnakerwa na media za Kenya the only solution ni mtengeneze media yenu itakayo skika ukanda huu wote wa mashariki mwa Africa.
Mpende musiipende, gazeti kubwa linalo sambaza habari za Eastern Africa na kusomwa na kuuzwa zaidi ni "TheEastAfrican"
Hawa jamaa hovyo sana.. eti angalia CNN na aljazeera!! Toka lini CNN ika anza kushambulia Canada kwa kuzusha vitu havipo.wala hakusoma the East Africa. Nani ka kwambia??
Usinge kua biased ungeona picture vizuri. Hizo media house ulizo zitaja huwaga zina andika uzushi kuhusu nchi jirani?! Kama Magu angelalamiki kwanini hamu andiki habari za tz hapo hoja yako inge make sense. Msipende kushabikia kila kitu, hii siyo nzuri kwa mahusiano ya kibiashara na kisiasa.Jaribu kuangalia Aljazeera kwa wiki moja alafu uswitch uangalie BBC/CNN kwa wiki moja alafu uswitch uangalie CGTN. Na uone tofauti ya vile kila nchi yenye inamiliki hizo media zinavyo jaribu Ku control global influence kwa kuji portray kama hao ndo wakombozi au world leader wa kila kitu.
Kama mnakerwa na media za Kenya the only solution ni mtengeneze media yenu itakayo skika ukanda huu wote wa mashariki mwa Africa.
Mpende musiipende, gazeti kubwa linalo sambaza habari za Eastern Africa na kusomwa na kuuzwa zaidi ni "TheEastAfrican"
Mitanzania bana, soma comment na uelewe kabla utoe cment yako, naona mnashida ya kuchagua ka sentensi flani ndani ya gumzo na kushikilia hako ka sentence na Ku ignore message nzima.Hawa jamaa hovyo sana.. eti angalia CNN na aljazeera!! Toka lini CNN ika anza kushambulia Canada kwa kuzusha vitu havipo.
https://www.quora.com/Do-Americans-...s-ignorant-about-Canada-as-the-media-portraysUsinge kua biased ungeona picture vizuri. Hizo media house ulizo zitaja huwaga zina andika uzushi kuhusu nchi jirani?! Kama Magu angelalamiki kwanini hamu andiki habari za tz hapo hoja yako inge make sense. Msipende kushabikia kila kitu, hii siyo nzuri kwa mahusiano ya kibiashara na kisiasa.
Huna point hapo. Wakenya zamani mlikuwa mnamawazo mazuri sana. Sijui sikuhizi mnakula nini?Mitanzania bana, soma comment na uelewe kabla utoe cment yako, naona mnashida ya kuchagua ka sentensi flani ndani ya gumzo na kushikilia hako ka sentence na Ku ignore message nzima.
FYI: main point kwa hiyo comment yangu ni "KAMA UNATAKA KUELEZA STORY ZAKO KWA DUNIA KULINGANA NA VILE UNATAKA, ANZISHA MEDIA YAKO AMBAYO ITAKUA RELEVANT ENOUGH TO BE READ BY EVERYONE"
kama media ya Kenya haingekua relevant in Tz , magufuli would have not bothered to even notice the story leave alone comment on it.
Hiyo media yenu yenye nguvu ni ipi. TOKA KWENYE NDOTO Wakenya mnapenda sifa ambazo hamna. The East African ata kwenye top 20 ya magazeti yanayo uza Tz halipo. Hoja yako ya Tz kuwa na chombo chake chenye nguvu wapelekee Uhuruto waifanyie kazi kwanza. IPP media is one of the biggest media houses in Africa hilo halina ubishi mpaka CNN wana litambua hilo, Azam media is already shaking the big guns. Hoja ni ujinga wa media zenu, naomba uni jibu lengo la kuandika habari za uzushi kuhusu Tz ni nini? Au its a new market strategy to enhace sellsMitanzania bana, soma comment na uelewe kabla utoe cment yako, naona mnashida ya kuchagua ka sentensi flani ndani ya gumzo na kushikilia hako ka sentence na Ku ignore message nzima.
FYI: main point kwa hiyo comment yangu ni "KAMA UNATAKA KUELEZA STORY ZAKO KWA DUNIA KULINGANA NA VILE UNATAKA, ANZISHA MEDIA YAKO AMBAYO ITAKUA RELEVANT ENOUGH TO BE READ BY EVERYONE"
kama media ya Kenya haingekua relevant in Tz , magufuli would have not bothered to even notice the story leave alone comment on it.
Huyu jamaa ajui kuwa raisi upewa habari za nchi kutoka vyombo vyote vya habari duniani na watu maalamu walioajiliwa kufanya hiyo kazi.Hiyo media yenu yenye nguvu ni ipi. TOKA KWENYE NDOTO Wakenya mnapenda sifa ambazo hamna. The East African ata kwenye top 20 ya magazeti yanayo uza Tz halipo. Hoja yako ya Tz kuwa na chombo chake chenye nguvu wapelekee Uhuruto waifanyie kazi kwanza. IPP media is one of the biggest media houses in Africa hilo halina ubishi mpaka CNN wana litambua hilo, Azam media is already shaking the big guns. Hoja ni ujinga wa media zenu, naomba uni jibu lengo la kuandika habari za uzushi kuhusu Tz ni nini? Au its a new market strategy to enhace sells
Huna point hapo. Wakenya zamani mlikuwa mnamawazo mazuri sana. Sijui sikuhizi mnakula nini?
Kiufupi raisi huwa asomi au kusikiliza news zote. Ikulu huwa kuna watu maalumu wameajiliwa kwa ajili yakumpatia raisi taarifa za nchi yake kutoka kwenye media zote duniani zinazo ongelea nchi yetu ya Tanzania. Raisi upewa kila update ya taarifa muhimu na source yake kutoka pande zote za dunia. Hata taarifa zinazoendeĺea humu JF ikibidi raisi upewa. The president is always informed on everything that is trending to do with the media talking about our country. Kuna mtu niliwai mwambia kuwa ndani yai thread kuna TISS na NIS sema hakunielewa.
Hiyo media yenu yenye nguvu ni ipi. TOKA KWENYE NDOTO Wakenya mnapenda sifa ambazo hamna. The East African ata kwenye top 20 ya magazeti yanayo uza Tz halipo. Hoja yako ya Tz kuwa na chombo chake chenye nguvu wapelekee Uhuruto waifanyie kazi kwanza. IPP media is one of the biggest media houses in Africa hilo halina ubishi mpaka CNN wana litambua hilo, Azam media is already shaking the big guns. Hoja ni ujinga wa media zenu, naomba uni jibu lengo la kuandika habari za uzushi kuhusu Tz ni nini? Au its a new market strategy to enhace sells
Uko sahihi sana, Labda Uhuru hana huo utaratibu. Anasoma magazeti yote ya michezo, burudani, udaku, uchumi, ya Kenya, Ug, Rw, Tz, na dunia nzima.Huyu jamaa ajui kuwa raisi upewa habari za nchi kutoka vyombo vyote vya habari duniani na watu maalamu walioajiliwa kufanya hiyo kazi.
Wakenya sikuhizi vichwa maji
Isine ikawa inalia saana kwenye msiba na kudai marehemu mmeishi naye miaka mingi na kufanya naye biashara na alikuwa mtu mwema halafu akagundua marehemu ni mtoto wa miezi 3. Una comment bila kusikiliza. Una allegyKiukweli sina MB na hata ningekuwanazo nisingezichezea.
Unasema lazima amesoma mwenyewe!! Mimi nakwambia hakusoma mwenyewe. Ana reports nyingi za kupitia hana muda wa kusoma gazeti la Kenya.Hapo lazima alisoma gazeti mwenyewe na akakerwa kiasi cha kutoa comment yake kwa umma.
In any case kusoma au kusomewa ni personal preference, rais moi alikua akijisomea mwenyewe, Shida tunayo ongelea hapa ni kwamba gazeti hilo LA Kenya lilikua relevant enough kumkera hadi anaanza kulia lia hadharani!
Hivi ingekua iliandikwa na gazeti la Malawi au Somali au South Sudan, JPM angepoteza mda wake kuongelea hio story, you will never find our top echelon leaders commenting about stories or "propaganda" written in one of your print media because to us your newspapers and media is irrelevant and of no consequences.
Leo hii mkiamua media zote Tz zichapishe story kama "KQ company has collapsed!" wakenya hatutangojea viongozi wetu watutetee, tutawachangamkia mitandaoni na humo ndani ya media,mpaka mfute hio story kiasi cha kua by the time hio habari imemfikia rais and atakua hana LA ziada