Magufuli asikiliza shida za wafanyabiashara Ikulu, majirani jifunzeni.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Ninahisi haina hii ya kukutana na kusikiliza shida za makundi Mbalimbali ya wananchi, inasaidia kujua kama watendaji waliochini wanafanya kazi au hapana.

Kufuatia kikao hiki hapo jana, Magufuli amemfuta kazi waziri wa viwanda na biashara, na mkuu wa TRA baada ya wafanyabiashara kuwalalamikia kwamba wamekua wakiwakwamisha katika biashara zao. Hongera Magufuli..
 
Hahahaha, Is this anything to get over the moon with really? Governors do it here let alone the President.
 
Hahahaha, Is this anything to get over the moon with really? Governors do it here let alone the President.
Sikiliza huo mjadala uone wananchi wanavyokwamishwa na viongozi wa kitaifa, Governor anaweza kumuwajibisha Matiang'i au Mkuu wa KRA?. Jifunzeni toka kwa Magufuli ili muibadilishe nchi yenu.

Kenya acheni kujidanganya, jaribuni kumfanya Magufuli kuwa "your partner not Competitor", The man many years ahead of other Africa leaders in responsive leadership.
 
Umevurugwa sio bure, huyo mzee wenu wa mikwara kwenye diplomasia ni zero! Wakumuiga labda Nkurunzinza saizi yake. Yeye mwenyewe anafaa amuige rais Farmaajo wa Somalia, atajifunza mengi.
 
Sasa nani abadilishe nchi? Si yule aliyelala fofofo! ? Hapo naona harakati za KATARIST tu hamna lingine
 
Umevurugwa sio bure, huyo mzee wenu wa mikwara kwenye diplomasia ni zero! Wakumuiga labda Nkurunzinza saizi yake. Yeye mwenyewe anafaa amuige rais Farmaajo wa Somalia, atajifunza mengi.
Hahahahaha, hahahahaha. Hapa kazi Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…