joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ninahisi haina hii ya kukutana na kusikiliza shida za makundi Mbalimbali ya wananchi, inasaidia kujua kama watendaji waliochini wanafanya kazi au hapana.
Kufuatia kikao hiki hapo jana, Magufuli amemfuta kazi waziri wa viwanda na biashara, na mkuu wa TRA baada ya wafanyabiashara kuwalalamikia kwamba wamekua wakiwakwamisha katika biashara zao. Hongera Magufuli..