Magufuli asipochunga atarudisha Tanzania nyuma

Wakenya mnajua Magufuli anawapa sleepless nights sana, sijui kwanini mnamuogopa kiasi hiki
Mbona kaongea kitu kina make sense. Magufuli ni janga kwa nchi yetu Tanzania.
 
Mbona kaongea kitu kina make sense. Magufuli ni janga kwa nchi yetu Tanzania.
We ni wale watanzania wachache wasiojielewa sasa unataka kusema lisu ndo Mtu sahihi?mtu kakaa nje ya nchi miaka 3 alafu aje awe Rais?nashuruku Sana watanzania wengi tunajielewa ndo maana mabadiliko umeona kwenye ubunge Sana hutasikia maandamano ambayo hayana maana tz.
 
WaTanzania, tumeshasahau uchaguzi wenu , saa hizi tuko kwenye Trump VS Biden...
 
Mbona kaongea kitu kina make sense. Magufuli ni janga kwa nchi yetu Tanzania.
Ni janga kwa wauza unga, wakwepa kodi, mafisadi, wazembe kazini and the likes
 
WaTanzania, tumeshasahau uchaguzi wenu , saa hizi tuko kwenye Trump VS Biden...
Tuliwaambia muumeditate? Dunia nzima inafuatilia sio ninyi tu halafu uchaguzi huku uliisha toka last week.
 
CCM imenifanya nichukie kuwa mtanzania
Halafu wewe kama sio mmiliki wa vyeti fake basi eidha wewe au wa karibu yako katumbuliwa na hii serikali ya JPM

Nakukumbuka vizuri sana ulivyokuwaga pro CCM awali, ghafla ukaswitch kwengine wakati JPM anabulldoze system, system imekutapika
 
Hakuna mzalendo wa kweli hata mmoja anayeweza kufikiria kumchukia kiongozi makini kama JPM. Poleni sana msioitakia Tanzania maendeleo ya kweli. Ukweli ni kwamba hatushtuki, hatubabaiki, hatuogopi, hatuangalii nyuma, hatusimami wala hatupunguzi mwendo. Mwendo mdundo, tunasonga mbele pamoja; Tanzania mpya hiyo!
 
Kwani kusema mabaya na mapungufu ya Magufuli ni kumchukia?
 
labda hujui kwamba mtu akikutendea mabaya unamchukia pia.
Hujajibu swali langu na ulichojibu sijauliza.

Haiwezekani kumpinga mtu kisiasa na kifalsafa bila kumchukia?
 
Hujajibu swali langu na ulichojibu sijauliza.

Haiwezekani kumpinga mtu kisiasa na kifalsafa bila kumchukia?

wapo watu wanaweza,lakini utakuwa sio wewe na wanajamii forums wengine mnaokosoa mienendo ya magufuli.
 
Hako kajamaa kalikua kakada kindakindaki kufa, ghafla bin vuu kakahamia unyumbuni, ni jipu lazima

Sisi tunasema Tanzania Mpya ni sasa na JPM. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…