Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kaongea kitu kina make sense. Magufuli ni janga kwa nchi yetu Tanzania.Wakenya mnajua Magufuli anawapa sleepless nights sana, sijui kwanini mnamuogopa kiasi hiki
We ni wale watanzania wachache wasiojielewa sasa unataka kusema lisu ndo Mtu sahihi?mtu kakaa nje ya nchi miaka 3 alafu aje awe Rais?nashuruku Sana watanzania wengi tunajielewa ndo maana mabadiliko umeona kwenye ubunge Sana hutasikia maandamano ambayo hayana maana tz.Mbona kaongea kitu kina make sense. Magufuli ni janga kwa nchi yetu Tanzania.
Ni janga kwa wauza unga, wakwepa kodi, mafisadi, wazembe kazini and the likesMbona kaongea kitu kina make sense. Magufuli ni janga kwa nchi yetu Tanzania.
Tuliwaambia muumeditate? Dunia nzima inafuatilia sio ninyi tu halafu uchaguzi huku uliisha toka last week.WaTanzania, tumeshasahau uchaguzi wenu , saa hizi tuko kwenye Trump VS Biden...
Halafu wewe kama sio mmiliki wa vyeti fake basi eidha wewe au wa karibu yako katumbuliwa na hii serikali ya JPMCCM imenifanya nichukie kuwa mtanzania
I live the real lifesuit yourself
Hakuna mzalendo wa kweli hata mmoja anayeweza kufikiria kumchukia kiongozi makini kama JPM. Poleni sana msioitakia Tanzania maendeleo ya kweli. Ukweli ni kwamba hatushtuki, hatubabaiki, hatuogopi, hatuangalii nyuma, hatusimami wala hatupunguzi mwendo. Mwendo mdundo, tunasonga mbele pamoja; Tanzania mpya hiyo!Halafu wewe kama sio mmiliki wa vyeti fake basi eidha wewe au wa karibu yako katumbuliwa na hii serikali ya JPM
Nakukumbuka vizuri sana ulivyokuwaga pro CCM awali, ghafla ukaswitch kwengine wakati JPM anabulldoze system, system imekutapika
Kwani kusema mabaya na mapungufu ya Magufuli ni kumchukia?Hakuna mzalendo wa kweli hata mmoja anayeweza kufikiria kumchukia kiongozi makini kama JPM. Poleni sana msioitakia Tanzania maendeleo ya kweli. Ukweli ni kwamba hatushtuki, hatubabaiki, hatuogopi, hatuangalii nyuma, hatusimami wala hatupunguzi mwendo. Mwendo mdundo, tunasonga mbele pamoja; Tanzania mpya hiyo!
Kwani kusema mabaya na mapungufu ya Magufuli ni kumchukia?
Hujajibu swali langu na ulichojibu sijauliza.labda hujui kwamba mtu akikutendea mabaya unamchukia pia.
Hujajibu swali langu na ulichojibu sijauliza.
Haiwezekani kumpinga mtu kisiasa na kifalsafa bila kumchukia?
Since when mkasikitika .............sikitikieni ukabila wenu kwanzaTunahuzunika ...
a peaceful united nation will be consumed by greed
Hako kajamaa kalikua kakada kindakindaki kufa, ghafla bin vuu kakahamia unyumbuni, ni jipu lazimaHakuna mzalendo wa kweli hata mmoja anayeweza kufikiria kumchukia kiongozi makini kama JPM. Poleni sana msioitakia Tanzania maendeleo ya kweli. Ukweli ni kwamba hatushtuki, hatubabaiki, hatuogopi, hatuangalii nyuma, hatusimami wala hatupunguzi mwendo. Mwendo mdundo, tunasonga mbele pamoja; Tanzania mpya hiyo!