Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Mawazo Kama haya yangekuwa ya kweli ingependeza Sana.

Huwezi amini mgombea wa urais kutoka chadema atampigia kura Magufuli. We dare to talk openly
 
Professor lipumba alisema mpingane kwa hoja sio kwa mtutu wala bao la mkono. Aliyechaguliwa apewe
Hapa ni kazi tu siyo hoja! Na hata mkimpambanisha kwa hoja Magu ni mashine nyingine hawezekani! Mtaishia kuabika mbele ya mabeberu wenu!
 
Mkuu hapa umeongea points.
 
Hapo hakuna combination ila ni usemi wa mafahari watatu hawakai zizi moja
 
Magufuli si mtu wa hekma wala subira! Na hii hulka yake akikaa vibaya anaweza itumbukiza nchi kwenye machafuko.

Mtu kama Membe au Lissu si watu wakukubali dhulma kirahisi rahisi!
Magufuli alibebwa sana 2015 mwaka huu itabidi ajibebe!
Najaribu kuwaza tuu kama Kenyatta na Rutto walijikuta The Hague kwa kauli zao tuu na hawakuwa madarakani 2007 jee ambao wako madarakani na ni wababe itakuwaje?
 
We ndo utajitoa hiyo blood sacrifice au unaongea tu, unaifahamu blood shed lakini!?, au kazi kupotosha umma tu.
Kina Nyerere Nyerere wangeogopa bunduki na ving'ora vya mkoloni leo tusingekua huru!

Leo unakunya kwa raha sababu kuna watu wali sacrifice maisha yao kwaajili yako.
 
Najaribu kuwaza tuu kama Kenyatta na Rutto walijikuta The Hague kwa kauli zao tuu na hawakuwa madarakani 2007 jee ambao wako madarakani na ni wababe itakuwaje?
Mwaka huu ama zao.... jasho litawatoka
 
Kina Nyerere Nyerere wangeogopa bunduki na ving'ora vya mkoloni leo tusingekua huru!

Leo unakunya kwa raha sababu kuna watu wali sacrifice maisha yao kwaajili yako.
Basi utajitoa hiyo blood sacrifice mkuu poa😂, Chadema mkishiba huwa mnaongea pumba Sana, wakati hata ubavu wa kuchukua dola hamna😁. Kazi mnayo kwakweli.
 
Mwana kuyataka,, mwana kuyapata... Ila Tz ni yetu sote.. MaGu kibabe atapita.. Tz misimamo mbele ya pesa wanayo wachache sana
 
Kwamba una phd?? 😁 Hivo ni veti tu ...me pia ninavyo nilkuwa napiga chabo sana simcheki asienacho au kuona nina akili kuliko ambae hana
 
Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.
Hakuna kampeni ilikua ngumu kama ya 2015
Kwa sasa ni kumsukuma mlevi tu hao uliowataja hawana jipya kwenye siasa za nchi hii
 
Hao wenye hoja nzuri ndio waliofikisha nchi ilipokuwa....watafute tu sympathy ila kwa machache na uthubutu wa Magufuli aliyofanya hakuna wa kucompete naye mwaka huu. Hizo hoja zao nzito waandike makala wahifadhi kwenye kumbukumbu tumechoka na ubabaishaji.
 
Atapiga tena push up.
 
Kuna watu wakuwafanyia huo uhuni wakatulia ila si kariba ya watu aina ya Lissu au Membe!!

Kote kulikotokea ukombozi usikiri hakukua na Dola laah aina ya watu walioleta ukombozi ndo ilikua chachu!
Mfano mzuri ni malawi uchaguzi wa mwaka huu juni
 
Magufuli si mtu wa hekma wala subira! Na hii hulka yake akikaa vibaya anaweza itumbukiza nchi kwenye machafuko.

Mtu kama Membe au Lissu si watu wakukubali dhulma kirahisi rahisi!
Magufuli alibebwa sana 2015 mwaka huu itabidi ajibebe!
Matendo yake yatambeba. Wanaccm wengi watakapoona anaelekea anguko watamgeuka tu.
 
CCM na magufuli wao walijua upinzani umekufa nchini , matokea yake muda umewapa majibu ya tofauti sana.

Kule Dodoma walichaguana kibabe na kupeana viposho, sasa wanhaha kuingia kwa wenye nchi watanzania.
Ule utulivu wa wapinzani kwa miaka mitano ulimfanya akadhani umekufa. It was a domant volcano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…