Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli aendeleza maigizo yako Ikulu ya kutengua teuzi na kuteua.

 
Ama kweli CCM ni ile ile. Kwa nini Rais anakwepa to address financial position ya Tanesco inayodidimizwa na wanasiasa wa CCM? Tanesco wanalipa mamilioni ya "dollars" kila siku kununua umeme wa IPTL etc kunufaisha wenye stake humo ambao ni wanasiasa na kupelekea Tanesco kupata tabu kujiendesha. Only way for Tanesco kujiweka Sawa ni raising tariffs na studies zote have maintained kwamba increased tariffs zipo reasonable due to uhalisia wa mambo. Kwanini serikali ilituingiza kwenye mikataba ya ovyo? That's the root cause, sio ewura au Tanesco. JPM mtumbua majipu, inakuwaje hili linamshinda?

CCM chini ya Chama kimoja ndio iliyosaini mkataba wa IPTL, huu ni mradi wa CCM moja kwa moja uliosainiwa Lumumba na ndio unaoitesa Tanesco.

Mramba ameonewa!
 
Yani akifuka Tanesco mkurugenzi
Lazima na TRA afukuze Mkurugenzi!!!
JokaKuu punguzeni Chuki
Haziwasaidii zaidi yakuumiza Nafsi yenu.
Kama Rais ndio huyo

Habadiliki kamwe
Mlie mtaka hakuwa

..Duh!!

..yaani kila anayekosoa basi ana chuki.

..huo ni mtizamo hasi sana kuwa nao hasa ukiwa na madaraka.
 
Haya matukio ya mipango ni shida sana.... Yani siasa za Kiafrika ni jipu zenyewe..
 
Ila mbona jamaaa namuonaga anapiga kaz kisomi sana mramba ...ila duh hizi drama ...
Na wa ewura nae mbona kaachwa
Nilimuona last year SABC kwenye Kongamano. Jamaa anaonekana yuko vizuri sana. Ni vigumu kupata vichwa vingi kama hivyo Tanzania. Kama umri haujaenda sana nafikiri anaweza kupata kazi somewhere nje!!

Kwenye hii tumbua tumbua sasa naamini kuna watu wazuri tunawapoteza pia!!
 
Kama production costs ni 100 Ths unatakiwa uuzeje ili ujiendeshe?
kwanza wapunguze expenses
-wafanyakazi wanapewa units za bure kila mwezi,zipunguzwe
-haiwezekani kulipana bonus kwa hali iliyonayo shirika
-deal na umeme unaopotea njiani
-wapiga dili km iptl awatafutie mwarobaini akishauriana na AG office
 
Yes nipatie saucer ingine ya popcorn na juice ya karanga. Hamna namna
 
Kwani umeme wanaochukua wafanyakazi ni kiasi gani?
 

Mkuu huwa nakubaliana sana na mabandiko yako lakini umekosea sana kubeza ubobezi wa Mwinuka kwenye eneo lake umahiri yaani Mech Eng. uliposema mambo ya lathe sijui kitu gani. Wakati mwingine jaribu kuwa na staha kama kitu haufahamu.

Pia huyo Kimambo naye ni Mech Eng japo kaspecialize kwenye energy lakini bado ni Mech. na sidhani kama ana sifa za ziada za kusimamia Tanesco. Mradi wa incubator pale Kibaha ulikufa mikononi mwake sembuse Tanesco ataiweza. Nasema hivi purely on belief kwamba usimjaji mtu kwa alichosoma ila kwa uwezo wake wa utendaji. Wote hawa Kimambo na Mwinuka ni academician na sio watu wenye uzoefu kama CEO's

Kama ni Tanesco ni bora angechukua kabisa mtu wa ECSE au BCom. Penye ukweli tuwe wakweli tuache ushabiki.
 
Mabosi wa TANESCO wanalipana bonus milioni 60 kwa mtu mmoja kila mwaka wakati shirika linajiendesha kwa hasara
 
Kuna mtu kauliza Kosa ni nini, wewe unatamuka moja moja kuwa bei ya umeme itapanda kwa asilimia 8% Kwani umekuwa Mhimili uliochimbiliwa chini zaidi ya Mingine lakini huku juu ni sawa!
 
Hivi leo sio sikukuu kweli?
 
Hivi babake ndo yule mfagiz sinza!?
Sinza kubwa mkuu, kuwa specific, mfagizi sinza palestina???? Mfagizi sinza mugabe barabarani??? Mfagizi sinza kumekucha???? Sinza madukani???? Sinza kwa remy???? Sinza rego???? Sinza kamanyola???? Sinza africa sana?? Whiteinn??? .
 
Kwa hiyo wewe ulitaka bei ya umeme ipande wananchi wazidi kuumia na nyie pro-Chadema mpate pakusemea?

Acheni ushabiki mandazi.

Kama kaonewa sababu alitaka kupandisha bei ya umeme na mzigo uendi kwa wananchi acha amuonee tuone kama Tanesco itakufa bila kupandisha bei ya umeme.
 
Hongera Mh, Rais Mungu akuzidishie hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…