Let us wait and see huyo anayekuja kama atayafanya hayo. Na impact say ya kuondoa units za bure ni ipi?kwanza wapunguze expenses
-wafanyakazi wanapewa units za bure kila mwezi,zipunguzwe
-haiwezekani kulipana bonus kwa hali iliyonayo shirika
-deal na umeme unaopotea njiani
-wapiga dili km iptl awatafutie mwarobaini akishauriana na AG office
Mkuu, hako ka kofia ka Merry Christmas kwenye avatar yako kameipendezea kweli! Sema "Haleluya"Wewe punguani kweli kuna mjadala gani sasa hapo wewe na waziri wa nishati pamoja na rais nani anaijua Tanesco.
Nimekujibu hivyo kutokana na wewe kijiona una uwezo wa kujadili kila kitu na kuwajibu wenzako kwa kejeli.
Rais kafuta mpango wa Tanesco kupandisha umeme wewe endelea kuandika gazeti lako.
Kwa hiyo wewe mwenye uwezo wa kujadili ulitaka bei ya umeme ipande.
i/Hili ni shirika la Serikali linapata ruzuku.wapate faida kwanza ndio wajipe umeme bure...
ila kupandisha mabei ovyo ndio source ya kutumbuliwa...
nitajie kampuni au shirika lolote duniani linalogawa huduma bure kipindi ambapo linapata hasara...
only in tanzania
Unataka ukatambike?Mwinuka ni Mhaya au mngoni?
yupoje huyu?Naona kaamua kuweka Mhaya ila kwa dkt. Mwinuka ndo kachemsha moja kwa moja!! Namfahamu Mwinuka tena sana.
hakuna md aliyeimudu tanesco kama mramba wakati utasemaHuyu alikuwa mmoja wa watu waadilifu kwenye hii nchi. Na uchafu wa wakina muhongo nashangaa hawa watendaji wanawezaje kufanya kazi
Ukweli mchungu-Tanesco ilihujumiwa na CCM 1993/1994, ndani ya ofisi za CCM Lumumba, Wala sio Serikalini/Wizarani. Kuanzia hapo likawa ni shamba la bibi la viongozi wa CCM kuvuna. Mkaanza ficha ficha kwa ruzuku etc lakini wapi. Sasa mnamtafuta mchawi maana maji yamewafika shingoni na mnalaghai wananchi eti mnawatetea kumbe ni nyie nyie mliowaangamiza katika suala la umeme.Wewe punguani kweli kuna mjadala gani sasa hapo wewe na waziri wa nishati pamoja na rais nani anaijua Tanesco.
Nimekujibu hivyo kutokana na wewe kijiona una uwezo wa kujadili kila kitu na kuwajibu wenzako kwa kejeli.
Rais kafuta mpango wa Tanesco kupandisha umeme wewe endelea kuandika gazeti lako.
bodi umehusika wizara inajua na hata waziri anajua toka mwanzo siasa ni tatizo jamaa wanatafuta kickumeme ni shida katika Nchi hii badala kushughulika kuondoa Tatizo la umeme kukatika katika . Kweli serikali hii viongozi lazima wawe na uoga Kwa kufanya maamuzi. Sijajua maamuzi ya kupandisha bei yamefanywa na mkurugezi pekee yake mpaka uteuzi kutenguliwa.
Leo 1.1.2017 Prof. Muhongo amehojiwa na Radio One na kueleza sababu za kusitisha mpango wa EWURA wa kupandisha bei ya Umeme kwa 8.5% kama ifuatavyo: -
1. Kwenye mikutano ya 'public hearing' nchini kote wadau walipinga myongeza ya bei;
2. hadi jana 31.12.2017 EWURA, kinyume na matakwa ya sheria, haikuwa imepeleka ripoti ya uamuzi wake kwa waziri mwenye dhamana, kujadiliwa na kupitishwa/kuthibitishwa kabla ya kutangazwa kwa pendekezo la bei mpya;
3. Ufumbuzi wa matatizo ya kifedha (madeni) wa TANESCO hauwezi utatuliwa kwa kupandisha bei ya Umeme. TANESCO inatakiwa kuwa na mkakati wa ku-improve efficiency kwenye management yake badala ya kuongeza bei ya Umeme; na
4. Wakuu wa TANESCO hawawpaswi kulipana bonus kila mwisho wa mwaka kiasi cha kufikia Tzs. 60m/- kwa mtu mmoja wakati shirika linashindwa kujiendesha isipokuwa kwa kupandisha bei ya Umeme. Hii inamaanisha kuwa wananchi wakamuliwe ili ipatikane pesa ya mabosi wa TANESCO kulipana bonus! Prof. Muhongo amesema ameagiza hata hiyo bonus isilipwe au irudishwe kwa waliokwisha kulipwa.
Dah... Siyo EWURA.... ni EURA....hawa ishu ya maji waliachana nayo kitambo sana.... hailipi...wao wanadili na umeme, mafuta na gesi... ndiyo kunamshiko..[emoji13] [emoji13]Safii sana , amtumbue na DG wa EWURA
Mramba fala tu, kwann uombe kupandisha bei badala ya kuomba kushusha ili kuwapa nafuu watanzania? Isitoshe Tanesco hupatiwa ruzuku na serikali, bora angeomba ruzuku iondolewe ndo apandishe bei.Ukabila ktk ubora wake ndg. Mramba anatokea wapi?
Wataendelea na Vipindi kama kawaSasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
Anavutiwa upepoMhhh utumbuaji huu ila wa ewura naona kapona
Kazi imeanzaAya haya haya sasa kumekuchaaaa sasa kumekuchaa jogoo.limewika taneskooo