Magufuli awaomba wanawake wa Tanzania wazae kwa wingi ili uchumi ukue

Hakuna wakukupangia uzae watoto wangap ,hio Ni hamasa tu kwa kua ukweli utabaki palepale kwamba hakuna maendeleo bila watu.
 
Mkenya kumuelewa magufuli ni ngumu sababu anafikiri njaa na shida iliopo Kenya hata Tanzania ipo, mkenya anatumia akili yake 90% kupata chakula cha siku wakati Mtanzania anatumia akili yake 10% kupata chakula cha mwezi tena bora kuliko kile mkenya anakipata
 
Hio ni Magufunomics. Will it work? Let's wait and see
 
Mimi naona jamaa yuko sahihi.
Maana tutapozaliana tutapata human resources wakutosha.
Ila sasa ili maendeleo yapatikanike inatakiwa 1)kuwe na viwanda vya uzalishaji vya kutosha.
2)well management of natural resources.
3)High quality and quantity education for creating skilled labours for production.
Haya yote yalitokea china.
Ndio maana sasa hv uchumi umekuwa mpk china ni rival wa US.
Wanaosema eti ukiwa na. Population ndogo umaskini unatoweka.
What about Kenya ambao wanapokea mpk food aid?!
What about Port au principe?!
Hizo nchi hasahasa Port au principe zina njaa ya kufa mtu na. Umaskin wa hatari.
Bora umaskin wa tz ni ule wa makaratasi kuwa tunaishi chini ya dola moja,but chakula kipo sufficient na watu wanalala vema na kuvaa.Asilimia kubwa tz watu humiliki ardhi.
Hii ni tofauti na Kenya wengi wao kuishi kat ya dola 2 na nusu mpk 3 kuwa km middle income .
Ilhali wengi wao wala sukuma week,kuonana kwa appointment na wachache wamilikao ardhi.
Na wengi kwa kukidhiri hufa njaa.
Asa sijui bora wapi ?!
NCHI HATA KAMA IKIWA NA WATU WACHACHE 1)KAMA KUNA CORRUPT GOVERNMENT (KENYA),
2)NO WELL MANAGEMENT OF RESOURCES.
3)SOCIAL WELFARE GIVEN BY BIAS SUCH ACCORDING TO TRIBALISM (KENYA).
STILL UMASKINI UTAKUWEPO TUUUU.
NI KAMA VILE ILIVYO PORT AU PRINCIPE.
HAO USA WASHAFIKA MILLION MIA NGAPI SIJUI IN POPULATION.NA BADO WANAZAANA,KWANN WAWAAMBIE NYIE TU MSIZAANE?!
HV HAMJUI KAMA PEOPLE REACHING MIDDLE AGE MTAWAKOSA KWAAJILI YA KUPATA LABOUR FORCE ?!
MSIMKOSOE JAMAA ILHALI KUNA KITU MUHIMU ALICHOKIONGEA NA KUKIFIKIRIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…