Magufuli awaomba wanawake wa Tanzania wazae kwa wingi ili uchumi ukue

Magufuli awaomba wanawake wa Tanzania wazae kwa wingi ili uchumi ukue

Hakuna wakukupangia uzae watoto wangap ,hio Ni hamasa tu kwa kua ukweli utabaki palepale kwamba hakuna maendeleo bila watu.
 
Mkenya kumuelewa magufuli ni ngumu sababu anafikiri njaa na shida iliopo Kenya hata Tanzania ipo, mkenya anatumia akili yake 90% kupata chakula cha siku wakati Mtanzania anatumia akili yake 10% kupata chakula cha mwezi tena bora kuliko kile mkenya anakipata
 
Magufuli is clever. In the long run, it's the people that counts.

Look at Europe and west, the economy and dynamism is dead because people do not reproduce.

Europeans became great because their population was high. In fact the population of Europe is higher than that of Africa whereas Africa has a larger land.

Look at India and China. They are billions while their land masses are smaller than Africa.

But everyone is complaining about the population of Africa!!
Hio ni Magufunomics. Will it work? Let's wait and see
 
Atolea mfano wa Nigeria, China na India ambako raia wa huko ni wengi kupindukia na kwamba hiyo ndio sababu wa chumi zao kukua.
Swali fikirishi, hivi umaskini wa Tanzania unasababishwa na uchache wa wananchi? Mbona Tanzania imeizidi Kenya kwa idadi ya watu lakini uchumi wa Kenya umezidi wa Tanzania kwa pengo kubwa ambalo huongezeka kila mwaka.
Mimi nashauri Watanzania muache uvivu, mlime hayo mapori na kuwa bread basket ukanda wote huu, sidhani kama kufyatua watoto zaidi ndio kutabadilisha chochote, mkizingatia leo hii tunahangaika na omba omba wenu waliojaa huku.
-----------------------

'Set your ovaries free’: Tanzania’s president urges women to have more children

John Magufuli claims higher population would 'build the economy' but critics warn it would worsen inequality and poverty

Tanzania’s president has urged his country’s women to “set your ovaries free” and have more children in a bid to boost the economy.



John Magufuli said a higher population could turn the East African nation into a regional powerhouse, but critics warned it would instead worsen inequality and poverty.




Since taking office in 2015, the president has presided over a campaign of industrialisation that has helped buoy economic growth. But Mr Magufuli claimed a higher birth rate would stimulate faster progress.

When you have a big population you build the economy. That’s why China’s economy is so huge,” he said, citing India and Nigeria as other examples of countries that gained from a demographic dividend.



Speaking in his home town of Chato on Tuesday, he added: “I know that those who like to block ovaries will complain about my remarks. Set your ovaries free, let them block theirs.”
Mimi naona jamaa yuko sahihi.
Maana tutapozaliana tutapata human resources wakutosha.
Ila sasa ili maendeleo yapatikanike inatakiwa 1)kuwe na viwanda vya uzalishaji vya kutosha.
2)well management of natural resources.
3)High quality and quantity education for creating skilled labours for production.
Haya yote yalitokea china.
Ndio maana sasa hv uchumi umekuwa mpk china ni rival wa US.
Wanaosema eti ukiwa na. Population ndogo umaskini unatoweka.
What about Kenya ambao wanapokea mpk food aid?!
What about Port au principe?!
Hizo nchi hasahasa Port au principe zina njaa ya kufa mtu na. Umaskin wa hatari.
Bora umaskin wa tz ni ule wa makaratasi kuwa tunaishi chini ya dola moja,but chakula kipo sufficient na watu wanalala vema na kuvaa.Asilimia kubwa tz watu humiliki ardhi.
Hii ni tofauti na Kenya wengi wao kuishi kat ya dola 2 na nusu mpk 3 kuwa km middle income .
Ilhali wengi wao wala sukuma week,kuonana kwa appointment na wachache wamilikao ardhi.
Na wengi kwa kukidhiri hufa njaa.
Asa sijui bora wapi ?!
NCHI HATA KAMA IKIWA NA WATU WACHACHE 1)KAMA KUNA CORRUPT GOVERNMENT (KENYA),
2)NO WELL MANAGEMENT OF RESOURCES.
3)SOCIAL WELFARE GIVEN BY BIAS SUCH ACCORDING TO TRIBALISM (KENYA).
STILL UMASKINI UTAKUWEPO TUUUU.
NI KAMA VILE ILIVYO PORT AU PRINCIPE.
HAO USA WASHAFIKA MILLION MIA NGAPI SIJUI IN POPULATION.NA BADO WANAZAANA,KWANN WAWAAMBIE NYIE TU MSIZAANE?!
HV HAMJUI KAMA PEOPLE REACHING MIDDLE AGE MTAWAKOSA KWAAJILI YA KUPATA LABOUR FORCE ?!
MSIMKOSOE JAMAA ILHALI KUNA KITU MUHIMU ALICHOKIONGEA NA KUKIFIKIRIA.
 
Back
Top Bottom