Magufuli azidi kugonga vichwa vya habari, wenye akili wazidi kumpongeza kwa namna anavyopambana na Corona

Wacha maneno mengi, Epidemiologists wameshafanya research na kukubaliana kwamba Morbidity rate ni 5% na mortality rate is below 2%, wacha maneno mengi
 
Wacha maneno mengi, Epidemiologists wameshafanya research na kukubaliana kwamba Morbidity rate ni 5% na mortality rate is below 2%, wacha maneno mengi
Jibu hoja sio kuhamisha magoli na kuleta shortcut... tuelezane kama tumetoka kwenye issue ya kupongezana na ushindi katika Corona na watu waige tunayofanya.... na sasa hivi tunabishania mortality rate ?

Kuna kipindi Wuhan China (Corona ilivyoanza) Mortality rate kwa data zao ilikuwa 5.6; Kuna kipindi nadhani march mwaka jana WHO walisema / walidhani Mortality ni 3.6%

Ila ukweli ni kwamba ni vigumu kujua watu waliokufa kwa Corona vizuri; bila kujua wangapi wanaokufa wana Corona sababu sio vifo vyote vipo reported (hususan Africa) pili kuna wanaopata Corona hata hawajui kama wana Corona (kwahio hawa wakifa) kifo kinaweza kudhaniwa kwamba ni jambo lingine na sio Corona.... (kumbe cause ni Corona)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…