Kwanza kabisa lazima ujue kwamba kuna vyanzo vinasema Corona inaua .5% to 1% ila vyote ni vigumu kupata figure ya ugonjwa ambao kuna percent wanaopata hawajui hata kama wanao, (asymptomatic) na wengine wengi wanakufa kwa Corona vifo vyao vinakuwa unreported bila kujua denominator ni wangapi wameugua ni vigumu kujua wanaokufa kama wengine hawakufa kwa Corona.... (hence the figure might be heavily under-estimated).
Hence tusijikite kwenye percent ya wanaokufa kwa Corona (ambayo ni vigumu kupata 100 percent ni ngapi) ila ya 2% will work even better kwenye argument yangu...., Pia kumbuka percent ya wanaokufa pia inatofautiana kati ya umri, na afya ya watu husika (jambo ambalo ninarudi kule kule kwenye point yangu) itakuwa ni uchizi kwa watu ambao wana-more percent ya vulnerable people uwaambia wafanye kama wewe ambao unao wachache..., pia ni mauaji sababu/kama unao vulnerable people wachache ndio useme bora liende hence kuwatokomeza....
Tujikite kwenye crucial point ingawa ukitaka pia twende kwenye differences ya mortality / morbidity tunaweza kufungua uzi tukaendelea huko