Magufuli fires nearly 10,000 civil servants


Mkuu, sababu MAGU ni rafiki wa Raila, mpeni kura ili akopi TZ, kama tulivyokopi rwanda ! Circle!! Hii ni strategy Mkuu!
 
Hahahahahaha Tz is blessed with the inquiverable President. May Almighty God shower blessings upon him and protect him against all Satans , Amen.
 
Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.

Mkuu, vote NASA kwa mabadiliko Kenya! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu, sababu MAGU ni rafiki wa Raila, mpeni kura ili akopi TZ, kama tulivyokopi rwanda ! Circle!! Hii ni strategy Mkuu!
Ushachafua hali ya hewa. MK254 ni jubilee damu! Hujaskia Kenyans are born decided... huyu anatooka viunga vya mlima nanii kuleee
 
Fake ni vile vya kidato cha nne lakini unamkuta huyu mtu ana cheti valid cha degree hadi PhD
 
Odinga alikuwa waziri Tena mwenye Dhamana kubwa
Uhuru niwakati wake huu
Lakini Ame dunda kwenye Rushwa na ufisadi
kwa mambo ya maendeleo, nampa Kenyatta tick...ila ikija kwa mambo ya ufisadi na mambo ya ukabila, nepotism and favoritism, nampa Fail...
 
Hizi hongera sawa na ngonjera tu. JWTZ, Police Units, etc kuna uwozo mkubwa uko wa ivyo vyeti feki mbona kimya kaufyata mkulu. Usione tabu kumwambia badala yake unakuja na hongera eti maamuzi magumu. Ndio nyie mkuu kajamba unasifia ushuzi.
 
Tatizo wala siyo sijui Bashite or whatever, na mpaka sasa hakuna mwenye uthibitisho wowote na huyo Makonda original hajulikani mpaka leo. Tatizo kubwa ni Makonda kuwataja hadharani WAUZA MADAWA, Hivyo hata leo akifukuzwa URC Kama hawatamuua kama Amina Chifupa basi na hoja yao ya vyeti ITAFIA HAPO
 
Sasa kama Kenya wapo ila hujui wangapi utashangaaje 10,000 waTanzania? Je kama mnao 15,000? Kafanye utafiti ukipata idadi njooni hapa tushangae pamoja!

Oya! Sisi tulishazoea kuitwa Wakenya manyang'au, Wakenya wezi Wakenya hiki Wakenya kile hivyo we are not the ones on the dock here. Nyie ambao huelekeza vidole vya lawama kwetu ndio tunawashangaa kwamba serikalini mpo 10,000 wanaotumia vyeti feki, halafu ujue ni kwamba Magu hakugusa kote kote, kaachia maeneo nyeti na kufuata wale wa chini. Akina Bashite, polisi n.k. bado wanapeta.

So kwa kifupi, kwa nyie kusema hata Kenya wapo hilo sio ajabu maana huwa mshatubandika majina ya kila aina. Ni kama leo hii umkute mchungaji au sheikh kwenye klabu anakula vitu vyake huku akiwa na mademu kibao, lazima utashangaa maana yeye hujiita mtakatifu siku zote.
 
Mkuu, sababu MAGU ni rafiki wa Raila, mpeni kura ili akopi TZ, kama tulivyokopi rwanda ! Circle!! Hii ni strategy Mkuu!

Uswahiba wao ni mambo yao binafsi, sio kigezo kamili cha mimi kumpa wa kwetu kura. Pia kumbuka kuna vitu Magu anafanya kwenu huko ambapo akiyafanya Kenya anapigwa chini mara moja, la vyeti amefanya vyema lakini kuna mengine siwezi fagilia.
Halafu huyu Raila swahiba wake Magu, aliwahi kuwa waziri mkuu, na tuliyaona wenyewenye, ufisadi na ukabila kwenye ofisi yake hivyo hamna lolote jipya tunalolisubiri iwapo akaongoza nchi, na hao ameungana nao na kujadili jinsi ya kugawana mamlaka wote wametajwa kila kila aina ya tuhuma. CC: hydrogen
 

According to the constitution he is untouched,..like minister,MP,RC,DC and others of the sort
 
good
 
vitambulisho vipi hivyo? Vile ambavyo Al Shaabab wanavitumia kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…