Magufuli fires nearly 10,000 civil servants

Magufuli fires nearly 10,000 civil servants

kwa mambo ya maendeleo, nampa Kenyatta tick...ila ikija kwa mambo ya ufisadi na mambo ya ukabila, nepotism and favoritism, nampa Fail...
Hahaha
ila anapenda Amani
japo mkabila
ila kazi kwenu
muendelee na Uhuru au la

Uswahiba wao ni mambo yao binafsi, sio kigezo kamili cha mimi kumpa wa kwetu kura. Pia kumbuka kuna vitu Magu anafanya kwenu huko ambapo akiyafanya Kenya anapigwa chini mara moja, la vyeti amefanya vyema lakini kuna mengine siwezi fagilia.
Halafu huyu Raila swahiba wake Magu, aliwahi kuwa waziri mkuu, na tuliyaona wenyewenye, ufisadi na ukabila kwenye ofisi yake hivyo hamna lolote jipya tunalolisubiri iwapo akaongoza nchi, na hao ameungana nao na kujadili jinsi ya kugawana mamlaka wote wametajwa kila kila aina ya tuhuma. CC: hydrogen
Hahaha.... pumua kidogo manake hilo povu! Mi nltania tu! Kumbe wa mlimani! Hehehe... wakenya bhana
Alafu yule mama waziri aliechomolewa kwa Ufisadi niliskia atagombea ugavana? Alifikia wapi?
 
kufunga miaka 7 watu 9,000 si wazo zuri, tutakua tunawalisha bure hao ni watu wengi mno, kwa kua Bashite kaachwa waache mtaani watafute kazi nyingine, tuondoe double standard
 
Ushachafua hali ya hewa. MK254 ni jubilee damu! Hujaskia Kenyans are born decided... huyu anatooka viunga vya mlima nanii kuleee

Najua Mkuu kuwa ni uhuruto damu ndo maana nimemwambia hivi![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha
ila anapenda Amani
japo mkabila
ila kazi kwenu
muendelee na Uhuru au la

Ashaanza kutoa vitisho, anajua ataiba kura the other Ruto in NASA is a winning card for RAO as he will devide Rift Valley vote. UHURUTO hawatoboi..
 
“They are thieves like any other thieves… you cannot perform if you don’t have deserving qualifications,”

**Through practice and experience over a period of time one can perform well perhaps better than the qualified ones. The word thieves as used here may refer to which category?:-
(1) Those who have no qualifications & not actively involves themselves in any duty other than siting and waiting for the monthly salary in their homes creating
(Phoney Employees/Fake Payral/Fake Payments)
(2) Those who have no qualifications, yet they actively engages in every duty assigned to them with their fully capacity and toiling for (deserve payment/compensation).

Note*: Category # (2) are not real thieves, because they have been earning what had been toiling for. The real thieves are obvious.

.......................... Watching from Sharp Angle................................................................
 
Hahaha.... pumua kidogo manake hilo povu! Mi nltania tu! Kumbe wa mlimani! Hehehe... wakenya bhana
Alafu yule mama waziri aliechomolewa kwa Ufisadi niliskia atagombea ugavana? Alifikia wapi?

Heheehe!! Hadi leo huwa sielewi hili neno 'povu' mnalitumia kwa context ipi, maana nielewavyo sivyo huwa naoa mnatumia. Mimi nilifanya kumjibu jamaa tena bila jazba wala nini na pia nikampa facts chache.

Utakua unaongea kuhusu mama yupi? Maana wapo wawili walipigwa chini kwa sababu za ufisadi, mmoja Mrs Ngilu akapokewa na upinzani na wa pili anaitwa Mrs Waiguru. Halafu wote wamefuata ugavana ila Mrs Waiguru ndiye amefaulu kuskilizwa na wananchi wa kwake kijijini.
 
Ashaanza kutoa vitisho, anajua ataiba kura the other Ruto in NASA is a winning card for RAO as he will devide Rift Valley vote. UHURUTO hawatoboi..

Kanifurahisha jana
kuwaita NASA watoto/Vijana wadogo
wanao jidanganya!!
Lakini jamaa nikama anaweweseka
 
The funny bit about this, All were using fake certificates........ Really....
 
Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.
And among them there are famous ones with exemption.
 
Heheehe!! Hadi leo huwa sielewi hili neno 'povu' mnalitumia kwa context ipi, maana nielewavyo sivyo huwa naoa mnatumia. Mimi nilifanya kumjibu jamaa tena bila jazba wala nini na pia nikampa facts chache.

Utakua unaongea kuhusu mama yupi? Maana wapo wawili walipigwa chini kwa sababu za ufisadi, mmoja Mrs Ngilu akapokewa na upinzani na wa pili anaitwa Mrs Waiguru. Halafu wote wamefuata ugavana ila Mrs Waiguru ndiye amefaulu kuskilizwa na wananchi wa kwake kijijini.
Usijali utaelewa when the time is right hehehe. ..
Nilikua naongelea huyo waigulu, si ndo kenyatta na ruto walimkingia kifua bashite style hadi dakika za mwisho?
Vizuri kama amefaulu. hapo akifanikiwa kuwa gavana hizo bilioni zikishaisha ndo ata "blow the whistle" hehehe..... nae si wa mlimani?
 
Huyo kwa kweli hata mimi sikupendezwa na hilo la yeye kupata ugavana, watu wa pale siwaelewi.
Uhuru alimkingia kifua sana huyo mama halafu akaishia aibu.
 
Soo hao 10000 waliovutwa wataenda wapi... Hapo ndio unaskia crime inaongezeka coz people are jobless
 
Back
Top Bottom