Magufuli hana hekima ya kuendesha uchumi

Magufuli hana hekima ya kuendesha uchumi

Itakuwa ukoo au family yako inahusika na sehemu au genge moja linalokamuliwa kipindi hiki,

Sisis wananchi tunamuunga mkono aendelee kukamua tena aongeze speed zaidi ya sasa

Sio uko wala familia inayo husika kwenye hiyo biashara. Kama kitu siyo halali na ni kosa hauhitaji kuhusika ili uweze kusema kwamba ni kosa. Nyinyi wananchi wangapi. Au ni wewe mwenyewe tu. Je hao wafanya biashara sio wananchi? Kama unataka aendelee kukamua ngoja mpaka wafanya biashara wote waondoke uone madhara ya serikali kujifanya mbabe kwenye biashara.
 
Unataka akumbatie wafanyabiashara ambao wanahujumu uchumi na kukwepa kodi ?

Mfanya biashara hawezi kuhujumu uchumi. Ni serikali inayoweza kuhujumu uchumi, na ndiyo ilifanya uchumi uwe mbaya. Tatizo ni sheria zinazo zuia mashindano kwenye hiyo sekta ya kuuza sukari. Kodi za bandarini na kodi ju ya wafanya biashara hazifai. Tunahitaji kuziondoa kama tunataka bei ishuke.
 
Na watakao nunua mavi utawazuia kisa wewe haupendi hayo mavi. Je unawazuiyaga watu wanao nunua sigara kisa wewe haupendi sigara. Au unawazuiaga watu ambao wanakula vyakula ambavyo hauvipendi kisa tu wewe hauvipendi na una uwezo wa kuwazuia. Unahitaji kuelewa kwamba chaguo la watu na jinsi wanavyo ishi maisha yao haikuhusu wewe. Kama mtu hamdhuru mwengine na wamekubaliana kufanya biashara sheria haitakiwi kuingilia.
Kazungushe mikono na Freeman aje akushikie akili hyo ndo kaskazini na majuha
 
Nchi kamwe haiwezi kuendesha kwa staili ya watu kuhujumu uchumi afu ukatoka nyuma ukashabikia upuuuz huuu Biashara huria si kuruhusu mtu afanye anachotaka atatokea mtu na kufanya atakavyo na mtashabikia.
tusiruhusu akili zetu kwenda likizo.
kiongozi wa nchi sio kiongozi wa Chadema kwamba maamuz yanaweza fanyika chumban anafanya maamuz ya nchi baada ya kutafakari kwa kina na wataalamu Husika.
walituchezea kwenye mafuta tukawashinda sasa kwenye sukari zama zimebadilika watashikwa pabaya
Watu mnatumia neno kuhujumu uchumi bila hta kujua maana yake.
 
kama sijasahau mtoa mada ni mpinga Mungu.kuna uzi alileta humu.
 
Back
Top Bottom