Kessy Wa Kilimanjaro
JF-Expert Member
- Jan 23, 2016
- 327
- 208
- Thread starter
-
- #21
Itakuwa ukoo au family yako inahusika na sehemu au genge moja linalokamuliwa kipindi hiki,
Sisis wananchi tunamuunga mkono aendelee kukamua tena aongeze speed zaidi ya sasa
Unataka akumbatie wafanyabiashara ambao wanahujumu uchumi na kukwepa kodi ?
Kazungushe mikono na Freeman aje akushikie akili hyo ndo kaskazini na majuhaNa watakao nunua mavi utawazuia kisa wewe haupendi hayo mavi. Je unawazuiyaga watu wanao nunua sigara kisa wewe haupendi sigara. Au unawazuiaga watu ambao wanakula vyakula ambavyo hauvipendi kisa tu wewe hauvipendi na una uwezo wa kuwazuia. Unahitaji kuelewa kwamba chaguo la watu na jinsi wanavyo ishi maisha yao haikuhusu wewe. Kama mtu hamdhuru mwengine na wamekubaliana kufanya biashara sheria haitakiwi kuingilia.
Watu mnatumia neno kuhujumu uchumi bila hta kujua maana yake.Nchi kamwe haiwezi kuendesha kwa staili ya watu kuhujumu uchumi afu ukatoka nyuma ukashabikia upuuuz huuu Biashara huria si kuruhusu mtu afanye anachotaka atatokea mtu na kufanya atakavyo na mtashabikia.
tusiruhusu akili zetu kwenda likizo.
kiongozi wa nchi sio kiongozi wa Chadema kwamba maamuz yanaweza fanyika chumban anafanya maamuz ya nchi baada ya kutafakari kwa kina na wataalamu Husika.
walituchezea kwenye mafuta tukawashinda sasa kwenye sukari zama zimebadilika watashikwa pabaya
Kwani maana yake n nn tutafsirieWatu mnatumia neno kuhujumu uchumi bila hta kujua maana yake.