Uchaguzi 2020 Magufuli hatachaguliwa na wahalifu

Hatuhitaji udikteta tunataka demokrasia na maendeleo chini ya CHADEMA.
 
Kwa mgombea kama Lissu basi magufuli aendelee tu
 
Nakubalina na wewe ,vibaraka wa mabeberu watapinga hili kwa kila namna si kwa matusi,kujijeruhi na kutafuta huruma ya watanzania,kuchezesha sheria kihuni nk. CHADEMA BADILIKENI!!!!
Waliompiga Tundu Lissu marisasi wakawapoteza kina Gwandu na SaaNane ni mabeberu??
Wako wapi mbona hawakamatwi??
Mwenye akili yupi ashirikiane na wasiojulikana??
Naona unaishi mwezini wewe yayoendelea hapa huyaoni!!
Naona unanufaika na hii regime kwako sio shida!!
 
Dogo acha bangi hazikusaidii wewe na nduguzo
Nchi imekuwa masikini zaidi kuliko wakati wa ufisadi wa JK

Juzi Kati wakati wa corona serikali
ilishindwa hata kuwanunulia wanyonge sanitizer na barakoa, sembuse kuwanudumia wavonjwa

hatuna hata maabara ya kuamimika ya covid imebidi tupige kimya kimya, kwa kuwa tunalindwa na Sheria ya takwimu

huduma za afya mbovu mpaka maraisi wastaafu wanakufa kwa malaria baada ya nchi za mabeberu kuzuia kuingia kwao

wanafunzi wa vyuo wamepewa hela pungufu, sidhani kama wengine watamaliza masomo mwaka huu.

alafu unakuja hapa na Upumbavu eti kununua ndege
 
CCM ndiyo chama kilichojaa wahalifu naanza nchambi anamiliki Bunduki 16 mbunge,
Gwajima porn star
Mwinjaku porn star



Sijazungumzia serikali kunyamazia walio mdhuru TL
 
Wewe ndio umedanganya kabisa, tena kwelikweli. Japan pale ni kama Kenya, wawekezaji ndo kila kitu pale. Huko Malyasia kuna demokrasia gani? umesikia lini uchaguzi wa rais wao? Hivi Ghana kuna maendeleo gani? hebu kuwa serious
Japan Kama Kenya???
Basi inatosha. Uwe na siku njema. Siwezi endeleza mjadala na mjinga asiye na ufahamu
 

Mkuu umewasahau hawa. Hawa pia hawatamchagua Magufuli. Hawa ni wenye kuhitaji mgombea wa aina hii:



Siyo siri. Penda usipende. Hapendwi mtu hapa!
 
Baba huwa anajisifu kwa kuwanunulia watoto chakula, kuweka maji na umeme ndani ya nyumba, kulipa ada za shule. Hayo si ni majukumu yake.
Kuna baba wasiofanya hivyo lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…