Uchaguzi 2020 Magufuli hatachaguliwa na wahalifu

Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi.

Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na marafiki wengi sana, mikopo mingi sana, misaada mingi sana na hata vita tumepigana kusaidia wengine tena bure kabisa, lakini hali yetu kimaendeleo ilizidi kudidimia kila uchao kuliko zile nchi tulizozisaidia.

Sasa hivi shida yetu sio majirani wema, misaada wala mikopo, bali shida yetu kubwa ni ndege, meli, reli, afya, umeme, maji, elimu, utalii, chakula na amani. Tusidanganyane, Hata wazungu waliendelea kwanza kabla ya kuja na demokrasia hii tunayoiona sasa kwao. Wazungu wanafahamu kuwa demokrasia sio rafiki kwa uzalishaji na uchumi, na ndiyo maana walituletea demokrasia kwenye nchi ambazo ni changa ili tubaki masikini milele. Kama China ingeanza na demokrasia wangeshindwa kuwalisha watu wao ambao ni robo ya dunia.

China inawasumbua wazungu sasa hivi kiuchumi kwakuwa waliachana na demokrasia kwanza. Hata Magufuli asingeweza kutenda yote hayo kama kila siku angekuwa anasikia sauti za demokrasia za huyooo, yuhoooo, mchinjeeee, mchinjeeee!!!!

Wazungu wamefika pale kiuchumi kwa kupora kwa hila na kwa kutumia majeshi yao. Sisi majeshi yetu sio ya kupora bali ya ulinzi tu wa wananchi, hayazalishi hata kidogo ukilinganisha na majeshi ya nchi tajiri duniani.

Lazima tumshukuru JPM kwa kupambana na majangiri waliokuwa wanaua tembo, faru, twiga wetu, kupunguza rushwa, kujenga kujenga, kununua, kununua, nk, tusimvunje nguvu mtu kama huyu, kwani hata yeye starehe anazitaka, marafiki anawataka, kusafiri nje ya nchi zilizoendelea walizohangaikia marais wenzie anataka lakini anaona aibu. Marais wanaoona aibu sio wengi, hasa katika nchi zetu hizi.

Tunafahamu kuwa wako watu ambao wamekatishwa mipango yao haramu ya kuwinda, kuchimba, kukata magogo, kuiba, ajira, ufisadi na ukuwadi wa nchi mabeberu; obvious, hawa hawatampa kura Mzee Magufuli, hivyo tutashangaa kusikia Rais Magufuli kapata kura zote kabisa. Lakini wale wapiga kura ambao wanapanda ndege, treni, na magari baada ya Magufuli kuwezesha upatikanaji wake hawa watampa kura, na wale ambao wataona Magufuli kasababisha unafuu wa aina fulani katika upatikanaji wa huduma fulani ambayo haikuwepo kabla hawa pia watampa kura ya NDIYO bila ya kupepesa macho.

Hata wale ambao wanafahamu kuwa hawajapandishwa mishahara yao kwakuwa Magufuli alikuwa anatumia hela nyingi kwa kuboresha miundombinu na huduma ambazo zinahitaji hela nyingi ambazo hatuna, pia hawa watampa kura za ndiyo JPM.

NI wahalifu tu ambao watasita kumpa kura ili warejee vitendo vyao

Haki yake tumpe
Hatuhitaji udikteta tunataka demokrasia na maendeleo chini ya CHADEMA.
 
Kwa mgombea kama Lissu basi magufuli aendelee tu
 
Nakubalina na wewe ,vibaraka wa mabeberu watapinga hili kwa kila namna si kwa matusi,kujijeruhi na kutafuta huruma ya watanzania,kuchezesha sheria kihuni nk. CHADEMA BADILIKENI!!!!
Waliompiga Tundu Lissu marisasi wakawapoteza kina Gwandu na SaaNane ni mabeberu??
Wako wapi mbona hawakamatwi??
Mwenye akili yupi ashirikiane na wasiojulikana??
Naona unaishi mwezini wewe yayoendelea hapa huyaoni!!
Naona unanufaika na hii regime kwako sio shida!!
 
Ukimaliza kukojoa uje utuambia makadirio ya fedha za kufanya yafuatayo, ili watu wakuelewe

1. Zoezi la kuhamia dodoma
2. Kujenga reli ya kisasa hadi pale ilipofikia
3. kusomesha watoto bure
4. mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu
5. kutokomeza ujangiri nchini
6. Kupanua airport zetu
7. Bwawa la umeme mto Rufiji
8. Kupanua na kujenga barabara
9. kusambaza maji na umeme vijijini
10. Ujenzi wa health facilities na ununuzi wa vifaa tiba na dawa
11. Kujenga madaraja na vivuko
12. Kulipa mishahara ya watumishi
13. Ujenzi wa shule na vifaa vya kufundishia,
14. kununua ndege, nk
Dogo acha bangi hazikusaidii wewe na nduguzo
Nchi imekuwa masikini zaidi kuliko wakati wa ufisadi wa JK

Juzi Kati wakati wa corona serikali
ilishindwa hata kuwanunulia wanyonge sanitizer na barakoa, sembuse kuwanudumia wavonjwa

hatuna hata maabara ya kuamimika ya covid imebidi tupige kimya kimya, kwa kuwa tunalindwa na Sheria ya takwimu

huduma za afya mbovu mpaka maraisi wastaafu wanakufa kwa malaria baada ya nchi za mabeberu kuzuia kuingia kwao

wanafunzi wa vyuo wamepewa hela pungufu, sidhani kama wengine watamaliza masomo mwaka huu.

alafu unakuja hapa na Upumbavu eti kununua ndege
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi.

Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na marafiki wengi sana, mikopo mingi sana, misaada mingi sana na hata vita tumepigana kusaidia wengine tena bure kabisa, lakini hali yetu kimaendeleo ilizidi kudidimia kila uchao kuliko zile nchi tulizozisaidia.

Sasa hivi shida yetu sio majirani wema, misaada wala mikopo, bali shida yetu kubwa ni ndege, meli, reli, afya, umeme, maji, elimu, utalii, chakula na amani. Tusidanganyane, Hata wazungu waliendelea kwanza kabla ya kuja na demokrasia hii tunayoiona sasa kwao. Wazungu wanafahamu kuwa demokrasia sio rafiki kwa uzalishaji na uchumi, na ndiyo maana walituletea demokrasia kwenye nchi ambazo ni changa ili tubaki masikini milele. Kama China ingeanza na demokrasia wangeshindwa kuwalisha watu wao ambao ni robo ya dunia.

China inawasumbua wazungu sasa hivi kiuchumi kwakuwa waliachana na demokrasia kwanza. Hata Magufuli asingeweza kutenda yote hayo kama kila siku angekuwa anasikia sauti za demokrasia za huyooo, yuhoooo, mchinjeeee, mchinjeeee!!!!

Wazungu wamefika pale kiuchumi kwa kupora kwa hila na kwa kutumia majeshi yao. Sisi majeshi yetu sio ya kupora bali ya ulinzi tu wa wananchi, hayazalishi hata kidogo ukilinganisha na majeshi ya nchi tajiri duniani.

Lazima tumshukuru JPM kwa kupambana na majangiri waliokuwa wanaua tembo, faru, twiga wetu, kupunguza rushwa, kujenga kujenga, kununua, kununua, nk, tusimvunje nguvu mtu kama huyu, kwani hata yeye starehe anazitaka, marafiki anawataka, kusafiri nje ya nchi zilizoendelea walizohangaikia marais wenzie anataka lakini anaona aibu. Marais wanaoona aibu sio wengi, hasa katika nchi zetu hizi.

Tunafahamu kuwa wako watu ambao wamekatishwa mipango yao haramu ya kuwinda, kuchimba, kukata magogo, kuiba, ajira, ufisadi na ukuwadi wa nchi mabeberu; obvious, hawa hawatampa kura Mzee Magufuli, hivyo tutashangaa kusikia Rais Magufuli kapata kura zote kabisa. Lakini wale wapiga kura ambao wanapanda ndege, treni, na magari baada ya Magufuli kuwezesha upatikanaji wake hawa watampa kura, na wale ambao wataona Magufuli kasababisha unafuu wa aina fulani katika upatikanaji wa huduma fulani ambayo haikuwepo kabla hawa pia watampa kura ya NDIYO bila ya kupepesa macho.

Hata wale ambao wanafahamu kuwa hawajapandishwa mishahara yao kwakuwa Magufuli alikuwa anatumia hela nyingi kwa kuboresha miundombinu na huduma ambazo zinahitaji hela nyingi ambazo hatuna, pia hawa watampa kura za ndiyo JPM.

NI wahalifu tu ambao watasita kumpa kura ili warejee vitendo vyao

Haki yake tumpe
CCM ndiyo chama kilichojaa wahalifu naanza nchambi anamiliki Bunduki 16 mbunge,
Gwajima porn star
Mwinjaku porn star

Sijazungumzia serikali kunyamazia walio mdhuru TL
 
Wewe ndio umedanganya kabisa, tena kwelikweli. Japan pale ni kama Kenya, wawekezaji ndo kila kitu pale. Huko Malyasia kuna demokrasia gani? umesikia lini uchaguzi wa rais wao? Hivi Ghana kuna maendeleo gani? hebu kuwa serious
Japan Kama Kenya???
Basi inatosha. Uwe na siku njema. Siwezi endeleza mjadala na mjinga asiye na ufahamu
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi.

Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na marafiki wengi sana, mikopo mingi sana, misaada mingi sana na hata vita tumepigana kusaidia wengine tena bure kabisa, lakini hali yetu kimaendeleo ilizidi kudidimia kila uchao kuliko zile nchi tulizozisaidia.

Sasa hivi shida yetu sio majirani wema, misaada wala mikopo, bali shida yetu kubwa ni ndege, meli, reli, afya, umeme, maji, elimu, utalii, chakula na amani. Tusidanganyane, Hata wazungu waliendelea kwanza kabla ya kuja na demokrasia hii tunayoiona sasa kwao. Wazungu wanafahamu kuwa demokrasia sio rafiki kwa uzalishaji na uchumi, na ndiyo maana walituletea demokrasia kwenye nchi ambazo ni changa ili tubaki masikini milele. Kama China ingeanza na demokrasia wangeshindwa kuwalisha watu wao ambao ni robo ya dunia.

China inawasumbua wazungu sasa hivi kiuchumi kwakuwa waliachana na demokrasia kwanza. Hata Magufuli asingeweza kutenda yote hayo kama kila siku angekuwa anasikia sauti za demokrasia za huyooo, yuhoooo, mchinjeeee, mchinjeeee!!!!

Wazungu wamefika pale kiuchumi kwa kupora kwa hila na kwa kutumia majeshi yao. Sisi majeshi yetu sio ya kupora bali ya ulinzi tu wa wananchi, hayazalishi hata kidogo ukilinganisha na majeshi ya nchi tajiri duniani.

Lazima tumshukuru JPM kwa kupambana na majangiri waliokuwa wanaua tembo, faru, twiga wetu, kupunguza rushwa, kujenga kujenga, kununua, kununua, nk, tusimvunje nguvu mtu kama huyu, kwani hata yeye starehe anazitaka, marafiki anawataka, kusafiri nje ya nchi zilizoendelea walizohangaikia marais wenzie anataka lakini anaona aibu. Marais wanaoona aibu sio wengi, hasa katika nchi zetu hizi.

Tunafahamu kuwa wako watu ambao wamekatishwa mipango yao haramu ya kuwinda, kuchimba, kukata magogo, kuiba, ajira, ufisadi na ukuwadi wa nchi mabeberu; obvious, hawa hawatampa kura Mzee Magufuli, hivyo tutashangaa kusikia Rais Magufuli kapata kura zote kabisa. Lakini wale wapiga kura ambao wanapanda ndege, treni, na magari baada ya Magufuli kuwezesha upatikanaji wake hawa watampa kura, na wale ambao wataona Magufuli kasababisha unafuu wa aina fulani katika upatikanaji wa huduma fulani ambayo haikuwepo kabla hawa pia watampa kura ya NDIYO bila ya kupepesa macho.

Hata wale ambao wanafahamu kuwa hawajapandishwa mishahara yao kwakuwa Magufuli alikuwa anatumia hela nyingi kwa kuboresha miundombinu na huduma ambazo zinahitaji hela nyingi ambazo hatuna, pia hawa watampa kura za ndiyo JPM.

NI wahalifu tu ambao watasita kumpa kura ili warejee vitendo vyao

Haki yake tumpe

Mkuu umewasahau hawa. Hawa pia hawatamchagua Magufuli. Hawa ni wenye kuhitaji mgombea wa aina hii:

IMG_20200804_210728_515.jpg

Siyo siri. Penda usipende. Hapendwi mtu hapa!
 
Baba huwa anajisifu kwa kuwanunulia watoto chakula, kuweka maji na umeme ndani ya nyumba, kulipa ada za shule. Hayo si ni majukumu yake.
Kuna baba wasiofanya hivyo lakini
 
Back
Top Bottom