The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hatuwalaum,swali letu kwao ni kwamba wao kama chama wameshakata tamaa tayar juu ya suala Hilo?
This is outcast question...
Unasahau kuwa kila upande ktk jambo hili una wajibu wake wa kisheria na kikatiba wa kutekeleza/kutenda...
Sasa kama CHADEMA wao wamekwisha kufanya wajibu wao, unataka waende na bungeni kulisaidia bunge kufanya wajibu wake...?
Kama ni ishu ya kupush na kutia pressure ili sheria na katiba ifuatwe, ni kwa vipi tena jukumu hilo liwe la CHADEMA peke yake...?
Jukumu la kuilinda katiba ni la kila mmoja wetu...
As far as I know, CHADEMA pamoja na kuwa wao wameshatekeleza wajibu wao wa kisheria na kikatiba juu ya swala la wabunge hawa 19 walio bungeni kinyume cha katiba...
....Lakini bado CHADEMA wanapiga kelele kwa mhimili wa bunge kutofanya wajibu wake wa kikatiba wakisaidiwa na wananchi wenye mapenzi mema na nchi hii kama sisi huku nje ili kulinda katiba...
Katika hili unalaumu na kunyoshea kidole watu wasio na kosa kikatiba unless uwe unafanya kwa maslahi yako ya siasa maji taka. Katika hili elekeza lawama mahali sahihi, kwa taasisi ya bunge...