Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #221
Mkuu Ng'wanamalundi, naunga mkono hoja, na hii ndio kitu kinachoitwa kuwa mkweli daima, rais Magufuli ni binadamu na sio malaika, no one is perfect, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu wengine wote, hivyo pamoja na mabaya yake yote, pia ana mazuri yake, tumkosoe kwa mabaya yake lakini kwenye mazuri, tumpongeze.Swali lako siyo sahihi kutaka kujua mchangiaji Paskali yuko chama gani kwa kuwa kuna siku anaiponda CCM na siku nyingine anaiponda CHADEMA. Hivyo ndivyo mchangiaji mzuri anapaswa kuwa: unatafakari jambo na kutoa maoni yako kufuatana na vipi unaona mambo yanapaswa kwenda. Siyo kwa kuwa uko CHADEMA basi kila kitu kinachofanywa na CHADEMA ni kizuri na kila kitu kinachofanywa na CCM ni kibaya. Swali lako limedhihirisha kabisa kwa nini Rais Magufuli analaumiwa kila kukicha. Najiuliza hivi ni kweli hakuna kitu kizuri alichofanya mtu huyu tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita? Swali lako limenipa jibu kwamba analaumiwa kwa kuwa tu yuko chama tofauti na mchangiaji; siyo kwa sababu amefanya kitu kibaya. Tubadilike Watanzania: tukosoe panapokuwa na mabaya na tuunge mkono panapokuwa na mazuri.
Mkuu Mtakasaji, I am captivated by hayo maneno yako, kwenye bold. Tangu rais Magufuli ameingia madarakani, leo ndio kwa mara ya kwa kusoma mahali rais Magufuli akiitwa "the son of Chato"Of course, Magufuli may .. the son of Chato could make the best president this country ever had...
Hivyo kwa jinsi anavyo deal na baadhi ya issues, kufikia 2025, anaweza!Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had,
Paskali.
Hawezi kuwa "best President" He is already the worse president in the World. We are laughing stock of the World because of this president. Tumezuiwa kucheza DV lottery kwa ajili ya kuficha ficha magonjwa, yule anayedhulumu haki za watu kuishi bado yupo anazunguka zunguka mjini kuendesha mikutano ya makundi makundi wakati tuna janga kubwa la Corona. Bado mambo yanaendelea kuharibika. Tanzania ya leo ni kwenye nchi za mwisho zenye furaha halafu Paskali unasema huyu ni "best president" au ulikuwa unatania?Wanabodi,
Angalizo
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika kwa sababu wanatamani ashindwe ili wakosoe. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujikomba kuusaka u-DC, au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako.
Sina Chama na Sitafuti Uteuzi.
Naomba kusisitiza kuwa mimi Paskali, sina chama wala sisaki uteuzi wowote, ningekuwa msaka uteuzi, ningeusaka zamani tangu enzi za Ben, maana mtoto wake ni class mate wangu darasa moja kwa miaka 4!. Ningekuwa msaka uteuzi, ningeusaka enzi za JK, maana Riz1, ni collage mate pale UD tena ni rafiki. Ningekuwa msaka uteuzi kwa Magufuli, ingekuwa siku nyingi nimeishaula, kwa taarifa yenu, kila nikisafiri kuelekea mitaa ya kule Biharamulo au Chato kikazi, nafikia kwa Magufuli!. Nandelea kusisitiza, kwa kipindi hiki chote ambacho mimi ni mwanahabari, sina chama. Ila mwakani ninastaafu uandishi wa habari na nitajiunga CCM, sasa siku mkisikia nimeshajiunga CCM, halafu bado uteuzi ukanipitia mbali, hapo ndipo mtakuwa na haki kunituhumu kuusaka uteuzi, lakini mtu asiye na chama kumtuhumiwa kuusaka uteuzi, sio kumtendea haki!. Mimi siku zote ni mkweli daima, siegemei upande wowote, na nazidi kuusitiza ule wito wangu wa kwenye mazuri tupongeze, kwenye mapungufu tukosoe na tushauri na kwenye mabaya ndipo tulaumu na kulaani, bandiko hili ni la pongezi.
As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.
Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimeguswa na hutuba ile na nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia kuhusu, uzalendo, kuwa wakweli na kusisitiza maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.
Kutumia shughuli za kiserikali kupokea wanachama wapya wa CCM was wrong. Katika bandiko hili,
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums nilisema
Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.
Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulilipinga humu, na leo limezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.
Mabadiliko haya ya mkuu wa nchi changing for the better ni very healthy kwa nchi yetu. Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon nao pia utasitishwa only if kama atabaini, it was not right, it is wrong kuzuia jambo lililoruhusiwa na katiba ya nchi, kwa sababu rais wetu amezuia mikutano hiyo kwa nia njema kabisa, bila ya yeye kutambua kuwa hana mamlaka hayo aliodhani anayo, na wasaidizi wake wanaolijua hili, wamenyamaza tuu na kumuangalia. Rais Magufuli naye ni binaadam na sio malaika hivyo hawezi kujua kila kitu ndio maana ana wasaidizi!.
Tuendelee kumuombea rais Magufuli, Mungu azidi kumlinda na kumuongoza vema kuitawala vema nchi yetu, mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ya Uchaguzi ambayo itakuwa inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, na kuwaingiza kwenye serikali yake, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.
Nimemuona akihutubia kwa humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia haki na kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki hiyo ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama kina Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, Isaack Kasanga, Gonzaga, James Rugemalila, Jamal Malinzi, Peter Noni, Dr Ringo Tenga, wale Ma Sheikh wa Uamsho na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani inayocheleweshwa?!.
Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiondolewe!.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Rejea
Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best! - JamiiForums
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Mkuu JP Omuga, nimesifia nini kupitiliza, kwani ni uongo?.Mayalla hii sasa imepitiliza aisee...!!
Unasifia kupitiliza...!!
Mkuu Kunta Kinte, pole sana maana naona umeandika kwa uchungu, Magufuli is changing for the better, awamu yake ya pili, he will be the best of the best na akimaliza ile 2025, he will be the best president this country have ever had!.Pascal hivi haya yanayofanyika wewe unayapenda. Kweli Pascal unayapenda ebu sema ukweli from your HEART. Au kuna kitu unakitaka, mbona umebadilika baada ya kuomba kugombea Ubunge. Au ni kwavile walikunyanganya fursa zote mpaka ukaanza kukosa namna ya kulisha familia. Kama umerudi kwa ajili ya fursa yako pmj na familia yako ni vizuri ila ni bora ukae kimya. Mateso anayoyafanya Magufuli siyo ya kawaida, siyo uongozi wa haki. Magufuli kakosea wote tulimpenda Magufuli kabla ya 2015 lkn amebadilika huyu Magufuli wa sasa siyo yule wa kipindi cha Kikwete. Magufuli wa leo ni mpenda sifa asiyetaka kumsikiliza yeyote, mpenda malipizi, asiyesamehe, mwenye chuki. Magufuli wa leo anajiona yeye ni Mungu na hakuna kama yeye. Maandamano ndio itakayoikoa Tanzania ya sasa. Ngoja tuikomboe Tanzania, baadae nyie ndio mtakuwa wa kwanza kusema Magufuli alikuwa hafahi. Haki haiwezi kuja bila kutafutwa kwa nguvu, na yote haya lazima baadhi yetu wafe kwa ajili ya wenzao. TUPO TAYARI KUANDAMANA KWA AMANI WAKIAMUA KUTUUA SAWA. LKN HAWATAFIKA MBALI KTK UTAWALA WAO. One day utaniambia
Wanabodi,
Angalizo
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika kwa sababu wanatamani ashindwe ili wakosoe. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujikomba kuusaka u-DC, au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako.
Japo Nina Chama, Lakini Sitafuti Uteuzi.
Naomba kusisitiza kuwa mimi Paskali, japo nina chama lakini sipongezi kusaka uteuzi wowote, ndio maana napongeza kwa mazuri na kukosoa madhaifu. Ningekuwa msaka uteuzi, ningeusaka zamani tangu enzi za Ben, maana mtoto wake ni class mate wangu darasa moja kwa miaka 4!. Ningekuwa msaka uteuzi, ningeusaka enzi za JK, maana Riz1, ni collage mate pale UD tena ni rafiki. Ningekuwa msaka uteuzi kwa Magufuli, ingekuwa siku nyingi nimeishaula, kwa taarifa yenu, kila nikisafiri kuelekea mitaa ya kule Biharamulo au Chato kikazi, nafikia kwa Magufuli!. Nandelea kusisitiza, kwa kipindi hiki chote ambacho mimi ni mwanahabari, japo nina chama ila itikadi yangu na ykada wangu uko moyomo tuu na sio kwenye kalamu yangu, Ila mwakani ninastaafu rasmi uandishi wa habari, hivyo nitaingia kwenye siasa. Lakini kwa sasa kumtuhu mtu kama mimi kuusaka uteuzi, sio kunitendea haki!. Mimi siku zote ni mkweli daima, siegemei upande wowote, na nazidi kuusitiza ule wito wangu wa kwenye mazuri tupongeze, kwenye mapungufu tukosoe na tushauri na kwenye mabaya ndipo tulaumu na kulaani, bandiko hili ni la pongezi.
As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.
Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimeguswa na hutuba ile na nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia kuhusu, uzalendo, kuwa wakweli na kusisitiza maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.
Kutumia shughuli za kiserikali kupokea wanachama wapya wa CCM was wrong. Katika bandiko hili,
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums nilisema
Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.
Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulilipinga humu, na leo limezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.
Mabadiliko haya ya mkuu wa nchi changing for the better ni very healthy kwa nchi yetu. Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon nao pia utasitishwa only if kama atabaini, it was not right, it is wrong kuzuia jambo lililoruhusiwa na katiba ya nchi, kwa sababu rais wetu amezuia mikutano hiyo kwa nia njema kabisa, bila ya yeye kutambua kuwa hana mamlaka hayo aliodhani anayo, na wasaidizi wake wanaolijua hili, wamenyamaza tuu na kumuangalia. Rais Magufuli naye ni binaadam na sio malaika hivyo hawezi kujua kila kitu ndio maana ana wasaidizi!.
Tuendelee kumuombea rais Magufuli, Mungu azidi kumlinda na kumuongoza vema kuitawala vema nchi yetu, mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ya Uchaguzi ambayo itakuwa inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, na kuwaingiza kwenye serikali yake, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.
Nimemuona akihutubia kwa humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia haki na kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki hiyo ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama kina Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, Isaack Kasanga, Gonzaga, James Rugemalila, Jamal Malinzi, Peter Noni, Dr Ringo Tenga, wale Ma Sheikh wa Uamsho na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani inayocheleweshwa?!.
Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiondolewe!.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Rejea
Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best! - JamiiForums
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Narudia tena kama mpaka mwisho wa kampeni hizi haujaambulia vidonda vya tumbo basi katoe sadaka ya shukrani[emoji1787][emoji1787]UPUUZI MTUPU!
Best....?Mkuu Kunta Kinte, pole sana maana naona umeandika kwa uchungu, Magufuli is changing for the better, awamu yake ya pili, he will be the best of the best na akimaliza ile 2025, he will be the best president this country have ever had!.
P
Joka la mdimu
Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hiziSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020
NAHITAJI MAJIBU
Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tuu!, unachukua, unaweka...
P
Kanda nyingine zote ni ngome imara za CCM, hivyo tumeweka nguvu kubwa kwenye maeneo yenye changamoto.View attachment 1566517
Mkuu hebu tupe fununu.
Mbona mheshimia pamoja na mama Samia mizunguko yote mpaka sasa ni kanda ya ziwa, Pwani na kanda ya kaskazini tu?
Siye Mbeya tuna penda sana kumwona mzee wa Push Up ili atutie moyo.Kanda nyingine zote ni ngome imara za CCM, hivyo tumeweka nguvu kubwa kwenye maeneo yenye changamoto.
Kwenye majimbo 4 haya, tunaoiga kambi kabisa,
1. Mbeya Mjini, 2. Arusha Mjini, 3. Kawe, na Ubungo!.
Japo uchaguzi bado, lakini CCM tayari tuna over 75% victory, tunachotafuta ni 95%!.
P
Masikini mwandishi nguli kugeuka kuwa mpiga ramli na puppet wa Mafisadi!Kanda nyingine zote ni ngome imara za CCM, hivyo tumeweka nguvu kubwa kwenye maeneo yenye changamoto.
Kwenye majimbo 4 haya, tunaoiga kambi kabisa,
1. Mbeya Mjini, 2. Arusha Mjini, 3. Kawe, na Ubungo!.
Japo uchaguzi bado, lakini CCM tayari tuna over 75% victory, tunachotafuta ni 95%!.
P
Kweli Paskali ni mwandishi nguli, lakini naye baada ya kuamua kutia nia ameingia mtego ambao wanasiasa hawatoki.Masikini mwandishi nguli kugeuka kuwa mpiga ramli na puppet wa Mafisadi!
Unataka kumpandisha tu, Pasco hajawahi kuwa na utimamu zaidi ya unafiki. Akiona amesemwa sana analeta bandiko la kuwafurahisha wanaomsema, upepo ukigeuka na yeye anabadilika. Ni egg chop thinker.Kweli Paskali ni mwandishi nguli, lakini naye baada ya kuamua kutia nia ameingia mtego ambao wanasiasa hawatoki.
Kuwa critical thinker.
Ukisha ingia siasa , umeshachagua upande unaotakiwa kuushabikia, come rain, come sun.
Kwa hiyo Paskali ndio tumempoteza.
Mkuu Alex Fredrick, thanks for this, nikipata muda nitaitafsiri na kuwaambia Watanzania umuhimu wa kura yao ya ndio kwa Magufuli una maana gani kwa bara la Africa na dunia kwa jumla.JPM the towering pillar of African renaissance
That is why October the 28th, is not only an election day for Tanzania, more important, it’s the day to decide the position of Africa in the world and the choice between economic liberation and captivity.

Tanzanians, in the same way you used to be the reliable rear base for the liberation struggles, you are once again holding the key for African emancipation from economic captivity, vote wisely, vote Magufuli for the bright future of Africa.
Kama bado hujapiga kura, nenda kapige kuraWanabodi,
Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, kwa kutuachia katiba mpya!, hii itapelekea sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiondolewe!.
Paskali.
Mapambio hayo yametosha subiri fadhilaKama bado hujapiga kura, nenda kapige kura
P
Mkuu, you are not a good trends reader, alisema mangapi hafanyi na akaja kuja kuyafanya!. Watch this man very closely, he is changing for betterHilo la kwamba anaweza kutuachia katiba mpya, sioni akilifanya kutokana na hulka zake. Na nitashangaa sana akituacha na katiba mpya yenye tija. Simply hilo ni jambo lililo nje ya uwezo wake kwa sasa, na hata kwa utashi wake.