ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
China wameweza na sisi tutaweza Magufuli forever.
What do you mean by important issues. They might be important to you but not important to others. The president cannot make everybody happy no matter what.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisha kutahadharisha Pasco kuwa kuna mtu akija funguka akili kuwa unalisifu joho lake kuwa linameremeta na akawa anachezesha maungo kwa mbwembwe, kumbe ukweli ni kuwa yuko uchi bali ulikuwa unamdhihaki kwa vile uwezo wake wa utambuzi ni wa chini kutokana na kupenda sifa sana mie sijui itakuwaje!Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!. Naomba kusisitiza kwenye mazuri tupongeze.
As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.
Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutolea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama.
Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia changing for the better, kuliko wanaomsifia!.
Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba.
Huwezi kujua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiendelee!.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.
Ila Paschal ukiwa unachemsha kwa nyuzi zilizopita kama labda mfano wiki iliyopita.. hadi kutuandikia CV yako ambayo mengine ukajiwahi badala ya kusubiri kujieleza ukivutia kupata kazi (jiongeze kuacha kushusha kila kitu hata kama unaogopa watu wakisema tena juu yako)..
Ulionyesha haujatulia yaani unakuwa na hamu ya kitu hakiji.. sasa na leo hili unatanguliza ya sijui DC sijui nini.. kwani wewe kweli sio mzoefu wa hayo maneno humu hadi unajiwahi.. na unaambiwa kila mara
Mangapi umeandikiwa na unakuwaga na vi like unatoa.. leo eti ujitetee kwanza kwa kitu ambacho ukipewa kesho hutakataa🤔🤔🤔
Jiweke kwenye mstari mmoja na ndoto zako zitatimia.. ila unajua na kunizidi miaka na kukumbuka unavalia uniform sikujuaga kuwa ulikuwa karibu uzungushe form IV.. sasa jisomee kuna kozi kibao hata za kuacha kuwa huku na kule na kuwa mstari mmoja na malengo. Acha kujiwahi kujitetea kila mara .. kwa CV yako kama ulikuwa na uongozi hata shuleni bora ungetaja hayo kuliko mengine kumezea hadi baadae.. wakisoma doc yote au ukiulizwa.. Ni hayo muhenga Pasco. Kila la kheri
Yamikutano ya siasa sidhani kama alikataza. Alisema kila mbunge ajikite kwenye jimbo lake.Huyo jamaa amekanyaga katiba na sheria.. (mikutano ya siasa, Uhuru wa mahaka na Bunge kuliweka kiganjani mwake kwa mabavu)
Uhuru wa kuongea kuhusu nchi yako hakuna (waandishi wa habari )
Ahadi za uongo (5ml kila kijiji + viwanda)
Watu wasiojulikana kutesa na kuua (azory, roma, ben saanane na lisu n.k)
Maisha mtaani taabu tupu (uchumi
Demokrasia hata ya sanduku la kura imepotea kabisa (uchaguzi mdogo)
Yaani Tumbo likitaka kumkubali.. MOYO unakataa kabisa.
Pasco mkuu si uwe unatuliza boli sometimes? Najuwa upande mmoja wewe ni mzalendo mwenye kuipenda nchi yako na mwenye kupenda kusimamia haki. Lakini ukabila ume corrupt ubongo wako almost to an unfathomable ways.Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!. Naomba kusisitiza kwenye mazuri tupongeze.
As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.
Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutolea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama.
Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia changing for the better, kuliko wanaomsifia!.
Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba.
Huwezi kujua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiendelee!.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.
Jamani labda nirudie tena, Pascal sio msaka uteuzi, hapa kachokoza mada ili mtiririke uozo mlioona!
Upole na Upendo tutaupata katika maombi/sala za Jumuiya. Muache Mh. Rais achape kazi.Ni kweli kuna baadhi ya mambo yanakwenda vyema, ila kama Mkuu wa Nchi awe anahutubia kwa upole na upendo, lakini likija suala la kushughulikia uzembe, wizi na ufisadi awe mkali na kutumia wembe uleule, na uwe kwa wote. Mfano kuna Clip moja inaonyesha Rais akiahidi kulipa deni la Wafanyakazi la Tsh 3.7Bilioni. Hapohapo akachomeka, mtazitaapika! Hii ilikuwa lugha kali kiasi. Angeweza tu kuwaasa kuwa anategemea watafanya kazi kwa weledi na uaminifu na yeyote atakaye kwenda kinyume taratibu za kinidhamu na kisheria zitawawajibisha. Huyu ndiye rais wetu na sisi ni wananchi wake, tuchukuliane kwa upendo na upole.
Kwakuwa wewe ndio mteuzi😀
Katika hotuba yote umechukua "kaneno hako tu ka kuzuga kuwa hataki kupokea wanachama wapya" ukaibuka na hitimisho hilo? Kama unafikiri kuna "changes for better" hapo, endelea kusubiri kwa huyo "kichaa kichaa'!Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!. Naomba kusisitiza kuwa mimi sina chama, kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosoe.
As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.
Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.
Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.
Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.
Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.
Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon utasitishwa only if atabaini, it was not right, kwa sababu rais wetu hana mamlaka hayo aliodhani anayo!.
Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiendelee!.
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.
Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.