Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

What do you mean by important issues. They might be important to you but not important to others. The president cannot make everybody happy no matter what.

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't entertain an obstinate mind, allow your brain to hold something new. I have vivid example of inconsistency, for example adherence to the rule of law, pretending to be fighting corruption while bribing member of opposition to join his party, pretending to be frugal while acting contrary to that by holding election every now and then at the expense of taxpayers. So when i talk of important issues that is what i mean. Are those issues not important to you? Hope your conscience admit though you might go against it.
 
Ila Paschal ukiwa unachemsha kwa nyuzi zilizopita kama labda mfano wiki iliyopita.. hadi kutuandikia CV yako ambayo mengine ukajiwahi badala ya kusubiri kujieleza ukivutia kupata kazi (jiongeze kuacha kushusha kila kitu hata kama unaogopa watu wakisema tena juu yako)..
Ulionyesha haujatulia yaani unakuwa na hamu ya kitu hakiji.. sasa na leo hili unatanguliza ya sijui DC sijui nini.. kwani wewe kweli sio mzoefu wa hayo maneno humu hadi unajiwahi.. na unaambiwa kila mara
Mangapi umeandikiwa na unakuwaga na vi like unatoa.. leo eti ujitetee kwanza kwa kitu ambacho ukipewa kesho hutakataa🤔🤔🤔

Jiweke kwenye mstari mmoja na ndoto zako zitatimia.. ila unajua na kunizidi miaka na kukumbuka unavalia uniform sikujuaga kuwa ulikuwa karibu uzungushe form IV.. sasa jisomee kuna kozi kibao hata za kuacha kuwa huku na kule na kuwa mstari mmoja na malengo. Acha kujiwahi kujitetea kila mara .. kwa CV yako kama ulikuwa na uongozi hata shuleni bora ungetaja hayo kuliko mengine kumezea hadi baadae.. wakisoma doc yote au ukiulizwa.. Ni hayo muhenga Pasco. Kila la kheri
 
Nilisha kutahadharisha Pasco kuwa kuna mtu akija funguka akili kuwa unalisifu joho lake kuwa linameremeta na akawa anachezesha maungo kwa mbwembwe, kumbe ukweli ni kuwa yuko uchi bali ulikuwa unamdhihaki kwa vile uwezo wake wa utambuzi ni wa chini kutokana na kupenda sifa sana mie sijui itakuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh huu mchambo kiboko...
 
Mayalla kumbe unanunulika kirahisi hivi? Kama.jina lako lilivyo Pascal Mayalla una njaa!! Huyu Mzee mnafiki sana, Mimi nilishamfuta hata kama leo angelipa malimbikizo yote ya watumishi wa umma nisingemsifia! Tangu aliposhindwa kumtumbua Bashite wakati wengine anawatumbua hata usiku wa manane, nilishamfuta!!
 
Yamikutano ya siasa sidhani kama alikataza. Alisema kila mbunge ajikite kwenye jimbo lake.
Maana yake ni kwamba kama wewe ni mbunge wa Temeke unataka kufanyia siasa Arusha mjini ulichaguliwa Arusha?
 
Hongera Paskali, umeandika vizuri sana. Na kwa kweli naelewa inakubidi uandike hivyo pia kwa uangalifu, maana sisi tunao uhuru kiasi fulani maana hatutumii majina yetu eti!
Kuhusu kauli ya "maendeleo hayana vyama", hiyo amekuwa akiisema mara kwa mara. Tatizo kubwa hapo ambalo inabidi ulielewe ni kwamba Rais wetu anayo kamusi tofauti na hizi tunazotumia sisi, pia mfumo wa semi zake ni tofauti kabisa na hizi za kiswahili cha kawaida. Mfano anaposema "Maendeleo hayana vyama", maana yake hasa ni kwamba vyama vingine inabidi visiwepo kabisa, chama ni CCM tu. na akiona mtu anafanya vizuri, atasema "wewe unafaa uwe CCM".

Halafu Magufuli ana "Fear of the unknown". hataki kabisa mfano watu wawe huru kusema chochote. hana uhakika watamsema namna gani. ndio maana kapiga marufuku mikutano na shughuli zote za vyama vya siasa. ungetarajia angewaruhusu wapinzani ili wamsaidie kumulika maeneo yenye walakini ili arekebishe, lakini wapi.

"Fear of the unknown" inamfanya Magufuli atumie kila njia kuvuruga chaguzi ili aweze "kuwa na uhakika" wa ushindi

Anaposema kwamba wanaotaka kwenda upinzani kutoka CCM wasimame, hicho siyo kipimo cha ulinganifu. kwa sababu inajulikana kabisa nini kinachowatokea wale wanaokwenda upinzani. na hao wanaotoka upinzani kwenda CCM wanakuwa wameandaliwa mapema, kama ilivyoonekana kule Sheikh Amri Abeid, pale kipaza sauti kilipomnasa akimfokea Gambo kwa kushindwa kuwaleta CHADEMA wengine.

Suala la kutumia rushwa kuwarubuni hawa "wanaoguswa" na utendaji wa JPM, mimi sijui kwa nini "tunaliDOGOSHA". Siyo suala dogo hili. Nassari alikwishakusanya ushahidi muhimu sana, na nashangaa kila mtu ameusahau na tunaupuuzia. tunaimba wimbo wa serikali kupitia TAKUKURU, kwamba "ule ushahidi umepoteza thamani kwa sababu ulisambazwa mitandaoni", wakati sababu ya kweli ni kwamba TAKUKURU hawawezi kumchunguza mtu ambaye Rais amempandisha cheo.

Watanzania tunaishi kwenye propaganda. hakuna uhalisia. hata hii miradi inayofunguliwa kila kukicha, bila mipango yoyote, hata hakuna kusema basi miundombinu tufanye hiki, kwa maslahi ya wafanyakazi tufanye hiki, kwenye vyuo vyetu tufanye hiki, hakuna. ni kadiri rais "anavyootoeshwa". Mimi kwa kweli sioni cha kumpongeza hata kidogo. wacha niendelee kulaumiwa. Historia itathibitisha hofu yangu
 
Pasco mkuu si uwe unatuliza boli sometimes? Najuwa upande mmoja wewe ni mzalendo mwenye kuipenda nchi yako na mwenye kupenda kusimamia haki. Lakini ukabila ume corrupt ubongo wako almost to an unfathomable ways.

I mean you're torn between being a patriot to your dear nation, and becoming a tribalistic sypathiser for the president whom is your own tribesmen.

Yani hakuna siku umeshaswahi kuona kosa lake bila kuwepo na justification hata kama ni ya kijinga na mostly naive that i ever seen in my whole adult life.

Sasa sijui ndo wasukuma mlivyo? Maana naona mnafanana sana hata na yule Nyani Ngabu.
 
Ukiwa na akili ya hapa na pale kumuekewa huyu Paskali inakuwa tabu. Huyu jiwe hajawahi kubadilika hata siku moja.
 
Tatizo la pascal ni kulazimisha teuzi kama kina Katambi na Muro

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani labda nirudie tena, Pascal sio msaka uteuzi, hapa kachokoza mada ili mtiririke uozo mlioona!
Mie niseme, nimesikiliza hotuba ya Ukerewe yote labda pale ilipo kata kata. Ni worse kuliko pengine za awali, sio hotuba ya kutolewa na mkuu ambaye amesha kaa ofisini zaidi ya miaka miwili karibia mitatu.
Ukiniuliza nitajibu kwa nini, kwanza kaonyesha kushambulia watangulizi wake Mkapa na JK utadhani aliwashinda kwa kura kumbe wao ndio waliiba kura ili apewe yeye. Kidplomasia huo ni udhaifu, huwezi pewa tonge mkononi kisha ukamtemea mate aliyekupa. Kaingilia madaraka ya bunge kwa kuhoji madaraka ya kupigia kura budget kama vile ni uhalifu? Raisi gani haheshimu maamuzi ya bunge? Na kumbe basi utaratibu wa kura za wazi sio wa kidemokrasia maana hauna tena utashi. Nk nk.
Ila hotuba mbaya hakuna mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upole na Upendo tutaupata katika maombi/sala za Jumuiya. Muache Mh. Rais achape kazi.
Awamu iliyopita tuliupata Upole, tukaishia kuutukana na kuudhihaki. Hatukuishia hapo tukaomba Rais wa awamu ya Tano awe mkali na dikteta. Mungu amesikia kilio na maombi yetu, sasa tunataka Upole tena!? Hakuna Nyutro...chagua bega la kulia au kushoto!
Hapa Kazi Tu...Upole na Upendo tutaupata majumbani kwetu.
 
Upo sawa,ila ninavyomchukulia mleta mada kuna kitu(expectation) anataka,ila kuna strategy za kupata hicho kitu anakosea.
 
Katika hotuba yote umechukua "kaneno hako tu ka kuzuga kuwa hataki kupokea wanachama wapya" ukaibuka na hitimisho hilo? Kama unafikiri kuna "changes for better" hapo, endelea kusubiri kwa huyo "kichaa kichaa'!
 
Hawez kuwa the best president hata iweje! MAYALAmeans njaa! Hata ukimsfia swezi kuita MAYALA kwa andiko lako la hasha! Ila maandamano ya nchi nzima kumtaka abakie kwenye madaraka tutadanganyana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepongeza leo vipi jana aliposema bajeti ni ya ccm wabunge wa upinzani walipinga kwahiyo hawakutaka meli mpya ziwa victoria! Kauli hiyo haikuwa nzuri na imejenga chuki kati ya wananchi na wabunge wa upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hulka yetu ni kupenda kusikia maneno mazuri tu wakati wote jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…