Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaandika ukweli ijapokuwa kuna watakao pinga " Kwa sababu bandiko limewagusa ..Nimekusoma
Kiukweli jiwe anajua kucheza na akili za watu
Na anajua maskini ndio wengi asipocheza na kete vizuri hatopata kura
Mkuu maskini nimtu anayeshindwa ku- Afford basic need, Food, shelter and clothes sasa umeona lini Mtu anayekosa hivyo vitu akamshangilia Jpm.
Mungu huchukia umasikini
Yesu aliwahi nae kuwachota masikini akili
Akawaambia ati ni rahisi kwa ngamia kupita kunako tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa Mungu
Acha masikini washangalie ---- yesu ilipofika jioni akaingia kwa zakayo akala chakula cha jioni
Daaah -- nimecheka sana katika hiyo scenario "
Kwa namna moja au nyingine nakubaliana na wewe kabisa without any doubts. hakuna jambo baya na lenye fedheha kubwa duniani kama umasikini
Ni kweli, halafu maskini habebeki... mfano mzuri uchebe
Mwenye nacho atazidi kuongezewa asio nacho hata kile kidogo atanyang'anywa. Sipo hapa kuwafariji masikini wapumbavu. Mungu mwenyewe aliyewaumba hawataki wala hawapendi, sidhangai wakiteseka kwa njaa, magonjwa, uchafu, na mambo ya hovyo.
Ili uwe masikini lazima usiwe karibu na Mungu. Masikini hajithamini, na kamwe hathaminiki. Masikini hajipendi, na kamwe hapendeki.
Masikini wamejaa unafiki hasa wawapo na watu wenye pesa, utayakuta yanacheka cheka hata kwa mambo ya kipuuzi, masikini ndio wanaongoza kwa usaliti. Masikini ndio wanaimani za ajabu hujawahi ona, uchawi, ushirikina, kijicho, roho mbaya, masengenyo.
Masikini anaona umasikini wake kapangiwa na Mungu, haahah! Kwa nini Mungu asiwachukie. Masikini wanafurahi mtu mwenye mafanikio akidondoka, bado hujanielewa tuu.
Masikini anachoweza kukifanya ni kulalamika na kulaumu wengine. Awali nilisema masikini ni dini tena imani kama zilivyo imani zingine. Imani hujengwa na matendo, matendo hujenga mazoea, mazoea hujenga tabia. Hatimaye Tabia ya kimasikini.
Hakuna mtu wa Mungu popote aliyekuwa masikini, maandiko yapo, mtu anaweza zaliwa masikini lakini kuendelea kuwa masikini ni uzembe wake.
What a massage🎶🎶🎶🎵🎵🎼💉💉💉💊💊💊📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
Nunua Cadbury nakuja Lipia mkuu