Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Yule mgombea wao anaweza pushups kweli?
October 28 ni Magufuli day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na ile picha aliyopiga magoti kuomba kura
Sio magoti tu safari hii atasota hadi kwa tumbo kuomba kura.Magufuli anapokea Ekarist, kupiga magoti ni kawaida kwa mtu wa Mungu ,Rafiki yangu
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85].Magufuli anapokea Ekarist, kupiga magoti ni kawaida kwa mtu wa Mungu ,Rafiki yangu
Sio magoti tu safari hii atasota hadi kwa tumbo kuomba kura.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85].
Mungu ?! Au mungumutu
Kuwa imara ki mwili ndiyo kuwa imara kichwani?
Rais Magufuli ni mcha Mungu
Ameanza kugalagala, lisu alishalisemea hili
Hujaliona swali langu au hujui kusoma?Nimekuuliza hivi, mtu kuwa imara kimwili inathibitisha kuwa imara kiakili?Yupo imara kiongozi wetu bora
Tuungane kumrudisha ikulu kwa kishindo rafiki
Nimemuuliza hivi,mtu kuwa imara kimwili inathibitisha kuwa imara kiakili?Ila naona ameingia mitini!Aisee!
Sasa hapo kuna uhusiano gani na uongozi?
Ameanza kugalagala, lisu alishalisemea hili
Aisee!
Sasa hapo kuna uhusiano gani na uongozi?
Na pacemaker?Yupo imara kwa kuongoza Tanzania miaka mingi
Na pacemaker?