barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
juzi juzi kapiga. Ndio hiyo unayoiona. Sijui utasema weka ipi tena..Hiyo ilikuwa pushup ya kumkejeli Lowasa. Mwambie apige Leo kama ana ubavu huo .
After all huyo unayemkejeli hakupenda awe hivyo. Bali ni madhalimu na mabaradhuli yenye kiu na njaa za damu ya WaTz .
Hii hapa link ni siku chache zilizopita...