barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
juzi juzi kapiga. Ndio hiyo unayoiona. Sijui utasema weka ipi tena..Hiyo ilikuwa pushup ya kumkejeli Lowasa. Mwambie apige Leo kama ana ubavu huo .
After all huyo unayemkejeli hakupenda awe hivyo. Bali ni madhalimu na mabaradhuli yenye kiu na njaa za damu ya WaTz .
Unyenyekevu wa hali ya juu wa JPM..
Huyo ndo Magufuli???Huyo ndiye Magufuli kipenzi cha Watanzania
Huyu anaweza kupigwa risasi zote zile na akawa hai?
Umemdhalilisha aidha kwa makusudi ama kwa kutojua kulingana na upeo finyu coco
Astaghfirullah
Waafrica ni wanafiki sana
Kipindi like hamnazo walijianika sanaUmemdhalilisha aidha kwa makusudi ama kwa kutojua kulingana na upeo finyu coco