Magufuli kuibukia U/Taifa Jumamosi

Sitoshangaa kuona Ukawa wakisusia hii mechi. Manaake hawa jamaa kwa sasa wameamua kuzila wali wa nazi na kuku. Eti wanataka wabembelezwe kwanza.
 
Sitoshangaa kuona Ukawa wakisusia hii mechi. Manaake hawa jamaa kwa sasa wameamua kuzila wali wa nazi na kuku. Eti wanataka wabembelezwe kwanza.
Mimi nilidhani hata ana jipya kumbe mtupu kama Kikwete! Hizi si ndio komedi za Kikwete na Mrema enzi hizo walizokuwa wanafanya.
 
Cha kusikitisha tutafungwa hii mechi kwani huyo atakayekuwa Mgeni rasmi sio chaguo la waTanzania kwa wingi wao hivyo uwepo wake utazorotesha ushangiliaji.
 
Bora asiende wat washangilie akienda wengne hawata shangilia au watashangilia kwa ishara ya lowasa/mabadiliko
 
Duh mzee uku vunga kwanza tunaomba uje kwenye friend matches,hii tunahitaji kushinda mambo ya kushtukizana uku noma.
 
Cha kusikitisha tutafungwa hii mechi kwani huyo atakayekuwa Mgeni rasmi sio chaguo la waTanzania kwa wingi wao hivyo uwepo wake utazorotesha ushangiliaji.

Eti kisa mtu fulani basi nisishabgilie timu yangu?!! Si upimbi huu

Kwanza ukiwa unacheck Game unafikiri utakumbuka kama kuna rais uwanjani mule?!!?? Kwa wapenz wa mpira na waangaliaji wa mpira akipita nao wamesahau apo api kama rais kaingia wako kwenye game
 
attention seekers hao, na tutafungwa mapema kabisaa heri wasingeenda
 
Kazi na dawa.

Inapendeza Viongozia nao japo mara moja moja kushuhudia michezo.

Safi sana
 
Bavicha ni mzigo zaidi ya zege..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…