singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipopokelewa vizuri uwanjani iwakuwaje?
Kwani kina nani wanatakiwa wampokee?
Mbona unaanza kwa mawazo hasi. Na akipokelewa vizuri uwanjani itakuwaje?Asipopokelewa vizuri uwanjani iwakuwaje?
Mimi nilidhani hata ana jipya kumbe mtupu kama Kikwete! Hizi si ndio komedi za Kikwete na Mrema enzi hizo walizokuwa wanafanya.Sitoshangaa kuona Ukawa wakisusia hii mechi. Manaake hawa jamaa kwa sasa wameamua kuzila wali wa nazi na kuku. Eti wanataka wabembelezwe kwanza.
Asipopokelewa vizuri uwanjani iwakuwaje?
tushafungwa shiiiiiiitttt
Cha kusikitisha tutafungwa hii mechi kwani huyo atakayekuwa Mgeni rasmi sio chaguo la waTanzania kwa wingi wao hivyo uwepo wake utazorotesha ushangiliaji.