Magufuli lawa neno jipya la Kiswahili maarufu Kenya

Vipi nyoka mwenye makengeza naye yupo cdm?tibaijuka mama wa 10million ela ya mboga yupo cdm?waliogawana noti za escrow wapo cdm?
Nyoka wa makengeza ana kalia kiti cha enzi Na kuliongoza bunge tukufu??? Ajabu sana hii
 
Dr. Slaa hana kadi ya CCM na mpaka wiki moja tu kabla hamjabadili gear angani alikuwa Rais wa mioyo yenu...tangu mlikaribishe kubwa la mafisadi Slaa kawa shetani na kijarida chenu cha Tanzania Daima ndio kinaongoza kumtukana kwa sasa...
Ni vizuri ukajipanga mkuu,nenda kale mihogo na huyo dr na mboga murua ipo dodoma ile ya kijani
 
Hawa wanajhua TUNU tuliyonayo Go Magufuli GO!
 
Kweli ni neno jipya hapo Kenya,
Rafiki mkenya majuzi kanitamkia "usiwe mkurupukaji kama magufuli"
 
Ni furaha kufahamu Mheshimiwa wetu anapaa nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…