A man of God
Member
- Sep 5, 2015
- 65
- 14
hebu jaribu kutuonyesha ukweli wa hicho ulichoandika!; wapi alichemsha?? Tupe angalau video clip!!!
mimi nataka rais kama magufuli kama hajui kimombo. Hii inatokana na ukweli kwamba watazania wengi wanakidharau kiswahili chao na badala yake wanashadidia kiingereza utadhani wamezaliwa londoni. Uzalendo kwanza ni kutumia lugha ya kiswahili katika mambo mengi ikiwa ni pamoja na raisi kutokutumia kiingereza wakati wowote.
Napendekeza rais ajaye asitumie kiingereza ili apate sifa kuwa rais wa kwanza duniani kwa kuwa mzalengo kwa lugha yake na nchi yake lakini pia anatambua utamaduni wa taifa lake. Nina uchungu mkubwa sna kuona kwamba watu wanashadidia vya ulaya lakini wanasau mambo yao ya msingi ambayo yanatambulisha utaifa wao ambayo ni pamoja na kiswahili.
Ahsante sna sana san