Kwa hivyo Tanzania is more developed than Kenya ati just because u are growing by 7%? Hata kama growth rate yenu ingekuwa 20% bado hamngefika 70 bn dollars ya KE according to IMF. But even for argument sake, tuseme Kenya ingekuwa na GDP sawa na Tanzania (let's say fifty something billion dollars) bado KE tungekuwa more developed kwa sababu tuko wachache compared to T.Z and therefore we would have a higher GDP per capita. Kenya na Ethiopia tunakaribiana kiGdp Lakini tumewashinda na mbali ikifika mambo ya GDP per capita kwa sababu wako wengi. Hata mkiwa na GDP kubwa kushinda KE it does NOT necessarily follow that you will have a bigger GDP per capita than KE. Tunaweza kuwa more developed than you Hata mkiwa na GDP kubwa kutushinda especially kama mko wengi.So growth rate is not an indicator of development however GDP per capita is.
Watu wa Kenya na world bank wanajua kuwa GDP yenu iko cooked. Mnaongoza kwa viwanda vya kupika dataKwa hivyo Tanzania is more developed than Kenya ati just because u are growing by 7%? Hata kama growth rate yenu ingekuwa 20% bado hamngefika 70 bn dollars ya KE according to IMF. But even for argument sake, tuseme Kenya ingekuwa na GDP sawa na Tanzania (let's say fifty something billion dollars) bado KE tungekuwa more developed kwa sababu tuko wachache compared to T.Z and therefore we would have a higher GDP per capita. Kenya na Ethiopia tunakaribiana kiGdp Lakini tumewashinda na mbali ikifika mambo ya GDP per capita kwa sababu wako wengi. Hata mkiwa na GDP kubwa kushinda KE it does NOT necessarily follow that you will have a bigger GDP per capita than KE. Tunaweza kuwa more developed than you Hata mkiwa na GDP kubwa kutushinda especially kama mko wengi.So growth rate is not an indicator of development however GDP per capita is.