Magufuli, Museveni to lay oil pipeline foundation stone

I realized Geza only speaks of knowledge sourced from Google, you do no further research coz should know that that is just the capacity discovered in Ngamia 1 - 7 wells. In 2017 more oil have been discovered in Erut, Emekuya wells... More wells include Twiga, Etom, Ekales etc totalling to more than 20.
You should also be aware that you Kenya has been refining crude oil and exporting oil since the 70's so you won't be ahead in anything, meanwhile don't count the chicks before they hatch, if Bagamoyo didn't teach you a lesson enough i don't know what will
We had a refinery too till 90s by TIPER. nothing to brag about that worn out facility in Mombasa. The other discoveries r not confirmed i.e. not classified as proven reserves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu nakula GDP per capita, hiyo ni hesabu ya nchi hutoa muongozo wa kiuchumi. Sio wakenya wote wanalipwa $1500 kwa mwaka. Eti tunaweza kuwa mbali na developed hata kama mkiwa na GDP kubwa. Do you even know what your talking about, if that the case Kenya mgekuwa number one economy in the world.
Sasa unataka tuanze ku argue kuhusu GDP per capita kama watoto wadogo. Sio lazima uwe umesomea mambo ya uchumi ndio ulielewe, Hata unaeza Google tu. Wacha nikufunze basi kama huelewi. GDP per capita inahesabiwa kwa kuchukua GDP in dollars na kudivide by population size yani idadi ya watu. Kwa mfano T.Z ikiwa na GDP ya 50 bn dollars na population ya 50 million people then GDP per capita itakuwa $ 1, 000. Nikasema ikiwa KE tungekuwa na GDP sawa na yenu ya 50 bn dollars Lakini tuko wachache (tuko takriban 45 million). GDP per capita ya KE itakuwa 50 bn dollars divide by 45 million people utapata GDP per capita ya $1, 111. Kwa hivyo KE bado tutakuwa na GDP per capita kubwa kuwashinda Hata kama sote tuna GDP ya 50 bn dollars kwa sababu tuko wachache. T.Z mnaweza kutupiku kwa GDP per capita mkiwa na GDP kubwa sana kushinda Kenya. Country kama U.S.A wako wengi kutushinda (wako zaidi ya 200 M) lakini bado wako na GDP per capita kubwa sana kushinda KE kwa sababu wako na GDP kubwa sana kutushinda (Infact GDP ya marekani ni zaidi ya Mara mia ya KE). Turudi kwa hesabu nikuonyeshe jinsi T.Z mnaweza kutupiku kwa GDP per capita Hata mkiwa wengi. Let us assume T.Z mko na GDP ya $80 bn na watu 50 M. GDP per capita itakuwa $80 bn/50M = $1, 600. Hapo mtakuwa mumetupiku kidogo tu kwani KE tuna GDP per capita takriban $1, 500 as of 2016.
 
Kuhusu Bagamoyo port. Tumeamua tuanze na upanuzi na ukarabati wa bandari zilizopo. Pia wachina walitaka kuiendesha bandari kama wanavyoendesha SGR yenu tukaona tutapoteza kama tusipo imarisha bandari zetu kwanza.
Modernization and Expansion of Dar es salaam port. ( under construction )View attachment 554312View attachment 554312
Nyinyi hata Ethiopia wa hapa hapa aliwazengua, Juzi mkawapa robo ya bandari la dar watumie wanavyotaka

Anyway,Leta picha za actual construction, mimi nikitaja Lamu utaona mapicha yakitiririka, nikitaja mombasa port expansion mambo yatakua hivyo hivyo,

In the meatine I will postpond engaging until such a time when you are making progress on you pipeline
 
Sasa unataka tuanze ku argue kuhusu GDP per capita kama watoto wadogo. Sio lazima uwe umesomea mambo ya uchumi ndio ulielewe, Hata unaeza Google tu. Wacha nikufunze basi kama huelewi. GDP per capita inahesabiwa kwa kuchukua GDP in dollars na kudivide by population size yani idadi ya watu. Kwa mfano T.Z ikiwa na GDP ya 50 bn dollars na population ya 50 million people then GDP per capita itakuwa $ 1, 000. Nikasema ikiwa KE tungekuwa na GDP sawa na yenu ya 50 bn dollars Lakini tuko wachache (tuko takriban 45 million). GDP per capita ya KE itakuwa 50 bn dollars divide by 45 million people utapata GDP per capita ya $1, 111. Kwa hivyo KE bado tutakuwa na GDP per capita kubwa kuwashinda Hata kama sote tuna GDP ya 50 bn dollars kwa sababu tuko wachache. T.Z mnaweza kutupiku kwa GDP per capita mkiwa na GDP kubwa sana kushinda Kenya. Country kama U.S.A wako wengi kutushinda (wako zaidi ya 200 M) lakini bado wako na GDP per capita kubwa sana kushinda KE kwa sababu wako na GDP kubwa sana kutushinda (Infact GDP ya marekani ni zaidi ya Mara mia ya KE). Turudi kwa hesabu nikuonyeshe jinsi T.Z mnaweza kutupiku kwa GDP per capita Hata mkiwa wengi. Let us assume T.Z mko na GDP ya $80 bn na watu 50 M. GDP per capita itakuwa $80 bn/50M = $1, 600. Hapo mtakuwa mumetupiku kidogo tu kwani KE tuna GDP per capita takriban $1, 500 as of 2016.
Wewe achakuleta cooked figures zako. Pata habari kamili.Hapo Kenya ayupo kabisa. Only Tanzania. Hahaaaaaa
Screenshot_2017-07-17-02-02-10.png
Screenshot_2017-07-17-01-58-31.png
 
Nyinyi hata Ethiopia wa hapa hapa aliwazengua, Juzi mkawapa robo ya bandari la dar watumie wanavyotaka

Anyway,Leta picha za actual construction, mimi nikitaja Lamu utaona mapicha yakitiririka, nikitaja mombasa port expansion mambo yatakua hivyo hivyo,

In the meatine I will postpond engaging until such a time when you are making progress on you pipeline
Tulia usiwe naharaka kama bao la mwisho
 
I realized Geza only speaks of knowledge sourced from Google, you do no further research coz should know that that is just the capacity discovered in Ngamia 1 - 7 wells. In 2017 more oil have been discovered in Erut, Emekuya wells... More wells include Twiga, Etom, Ekales etc totalling to more than 20.
You should also be aware that you Kenya has been refining crude oil and exporting oil since the 70's so you won't be ahead in anything, meanwhile don't count the chicks before they hatch, if Bagamoyo didn't teach you a lesson enough i don't know what will
Huu ni uongo na unyang'ua, the 750 bn barrels include wells not only from Ngamia as you stated, but also from Twiga, Amosing, Etuko, Ekales, Atom, Agete, Ewoi and others since 2012 drilling started. So it's dozens of wells, yah ni kweli Tullow wamepata kitu this year but it's just a small add up ya 750bn barrels mliyonayo, haiwezi badilisha economic viability ya oil pipeline ya Kenya.

Labda Kenya may have a quality oil ila pia ina very high cost of operation, so it isn't a big thing to brag, the only way ni kuendelea na exploration tu na sio kuanza political project like what Kenyatta anataka kufanya. Kenya kuanza production kwa kutumia malori it's a political stunt tu na Kenya kujenga bomba la mafuta with just 750bn barrels of proven recoverable reserves ni ukichaa pia.
 
Sasa unataka tuanze ku argue kuhusu GDP per capita kama watoto wadogo. Sio lazima uwe umesomea mambo ya uchumi ndio ulielewe, Hata unaeza Google tu. Wacha nikufunze basi kama huelewi. GDP per capita inahesabiwa kwa kuchukua GDP in dollars na kudivide by population size yani idadi ya watu. Kwa mfano T.Z ikiwa na GDP ya 50 bn dollars na population ya 50 million people then GDP per capita itakuwa $ 1, 000. Nikasema ikiwa KE tungekuwa na GDP sawa na yenu ya 50 bn dollars Lakini tuko wachache (tuko takriban 45 million). GDP per capita ya KE itakuwa 50 bn dollars divide by 45 million people utapata GDP per capita ya $1, 111. Kwa hivyo KE bado tutakuwa na GDP per capita kubwa kuwashinda Hata kama sote tuna GDP ya 50 bn dollars kwa sababu tuko wachache. T.Z mnaweza kutupiku kwa GDP per capita mkiwa na GDP kubwa sana kushinda Kenya. Country kama U.S.A wako wengi kutushinda (wako zaidi ya 200 M) lakini bado wako na GDP per capita kubwa sana kushinda KE kwa sababu wako na GDP kubwa sana kutushinda (Infact GDP ya marekani ni zaidi ya Mara mia ya KE). Turudi kwa hesabu nikuonyeshe jinsi T.Z mnaweza kutupiku kwa GDP per capita Hata mkiwa wengi. Let us assume T.Z mko na GDP ya $80 bn na watu 50 M. GDP per capita itakuwa $80 bn/50M = $1, 600. Hapo mtakuwa mumetupiku kidogo tu kwani KE tuna GDP per capita takriban $1, 500 as of 2016.
Stop cooking your own figures even world bank knows:
GDP PPP. Tupate habari kamili
downloadfile-8.png

Unapokuwa humu JF usilete cooked figures kutoka kwenye viwanda vyenu. Even world bank knows
5cd881b0232758c410c60750f902b9d0.jpg
 
Nilikuwa nataka kukujibu lakini naona loyal Tanzanian wamekupa za uso, one two [emoji23]
 
Msiwe na matamanio yaliyopitiliza. Bomba la mafuta TAZAMA lipo miaka nenda rudi sijaona impact. Hili lina nini cha zaidi ya kupitisha mafuta yao na kulipa ushuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole bomba la tazama nitofauti na ili la Uganda kwani tazama linatoka machimboni ? La Uganda linatoka machimboni kupitishia tz
 
Haha. La, mimi niwatroll bcos nilipogundua Jf, niliwapata mkitukejeli sana juu ya Mpeketoni na Westgate.

I am not jealous of Tanzania..I believe that Kenya is more advanced than Tanzania.

No. Iran hata haijaanza kuuza mafuta yake. Kuna sababu nyingine kabisa....kisasi cha biashara baina ya wazalishaji wakuu.
Nyangau keep believe [emoji120] [emoji120] and keep singing believe but TZ is keep doing
 
Hivi hii hiashara ya bomba iko vipi ? Wajuzi tuambieni tupate elimu
Ninajua Uganda wame pata mafuta
Najua uganda wanataka njia rahisi kusafirishia hayo mafuta
Tanzania ndio wameichagua kupitisha bomba hadi Tanga
Sasa jee hilo bomba la nani ? Uganda au Tanzania ?
Jee sisi tutachangia ujenzi ? Au tumetoa ardhi tu ?
Kama tunachangia chenji yetu kiasi gani au share yetu kiasi gani
Na jee mbali na pesa za mzunguko na ajira wakati wa ujenzi tutafaidika na lipi zaidi ? Kuna transit fees ? Tutapata kiasi gani ?
Jee hizo transit fees tutagawana na Uganda na Total ?
Jee nani atagharamia maintanance , ulinzi , bima na uharibifu wa mazingiza ambao mara nyingi hauna kinga ya bima ?
Jee kama tna changia kiasi gani na mkopo kiasi gani na gharama zatarudi baada muda gani..
Ni hayo tu ..mwenye ujuzi aujuze
 
Jee upande wa uganda tayari jiwe la msingi ?
 
Mkuu, Tanzania tutafaidika na vitu vingi kwenye bomba hili. Kwanza kabisa kwa sasa Tanzania hatuchangi zaidi ya kutoa ardhi kwasababu muwekezaji TOTAL watalipia gharama zote za ujenzi, wakiwa na makubaliano na Waganda kama gharama ya ujenzi TOTAL watazirudisha kwa mauzo ya mwanzo ya mafuta. Lakini ukija kwa upande wa Tanzania, pamoja na kutoa ardhi, sisi tutapata $12 kwa kila pipa la mafuta linalopita kwenye bomba hilo. Titapata fedha za matumizi ya bandari Tanga, maana ya meli za kubeba mafuta sisi ndio tutazipokea. Watanznia watapata mafunzo na ajira katika kila nyanja, kuanzia ujenzi wa bomba kwa upande wa Tanzania, utunzaji, usalama nk. Wakulima nao watafaidika kutokana na chakula kitahitajika kwa wafanyakazi wa huko, umeme pia titawalipisha, magari ya kazi yatalipiwa kodi hapa Tanzania. Pamoja na makubalino ni $12 kwa kila pipa la mafuta, kuna fedha za ziada zitapatikana kutokana na mradi huu ikiwa pamoja na chuma chetu kitatumika katika ujenzi wa bomba hilo.
 
Back
Top Bottom