Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Watakuambia Magufuli ndio kaleta mgogoroHivi mali alizo acha marehemu mengi , kwa sasa zinapumulia nini etiii ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuambia Magufuli ndio kaleta mgogoroHivi mali alizo acha marehemu mengi , kwa sasa zinapumulia nini etiii ???
Ukweli ni kwamba, Wafanyabiashara wengi TZ janja janja za ukwepaji Kodi na deals chakaram ndio sehem ya Maisha yao.Umeamka na hang'over ya ugoro wa Cheka -ung'atwe hapo Matejoo eeh!
Umesoma vizuri hiyo heading ama unatumia WiFi ya shemeji hapo kwa kuibia?
Unajua kipindi Jiwe kaingia madarakani na kuanza Precision aair , makampuni ya simu, makampuni ya madini, Bureau De change kufungwa, wewe mbona unakuwa mwoga kuliko hata mtoto wa kike ambaye hajavunja ungo?
#Mpuuzi mmoja
Hizi akili za kimasikini. Unataka serikali ihodhi pesa zote sekta binafsi isiwe na pesa? Serikali inatakiwa iachie pesa zizunguke mtaani. Sasa under magufuli, kandarasi za ujenzi- tba na Suma jkt. Mikutano a semina za kiserikali- aicc/madrasa ya shule. Kwa sera hizo eventually pesa yote inakuwa imehodhiwa na serikali, na mtaani kutakuwa hakuna pesa. Pia wivu wa kike muachage. Unaona wivu Mrema kutajirika, bila kufikiria aliajiri watu wangapi kwenye biashara zake.Hawa jamaa walishaiteka serikali, mikutano yote ya kijinga ilikua inafanyikia hoteli zao huku mabilioni ya pesa yakilipwa kijanja janja tu
Magufuli alipoingia akakomesha huu ujinga wakaisoma namba
We umejenga hoteli ya biashara eti unategemea mikutano ya serikali??? Pathetic
Mrema. Bana aliondoka na Mali zake akaacha warithi wajinga wajinga tu
Inawezekana fisadi Kikwete alikuwa na hisa kwenye hiyo biashara ndiyo maana wakategemea mikutano ya serikali pekee kuendesha biashara zao.Kama target yao pekee ni mikutano ya serikali na EAC bado wajipange!
Hili ndilo janga linaloia taifa.Hizi akili za kimasikini. Unataka serikali ihodhi pesa zote sekta binafsi isiwe na pesa? Serikali inatakiwa iachie pesa zizunguke mtaani. Sasa under magufuli, kandarasi za ujenzi- tba na Suma jkt. Mikutano a semina za kiserikali- aicc/madrasa ya shule. Kwa sera hizo eventually pesa yote inakuwa imehodhiwa na serikali, na mtaani kutakuwa hakuna pesa. Pia wivu wa kike muachage. Unaona wivu Mrema kutajirika, bila kufikiria aliajiri watu wangapi kwenye biashara zake.
Yawezekana kabisa maana hata awamu hii ya sita imeanza kupeleka mikutano ya EAC pale baada ya Makamba kwenda wizara ile.Inawezekana fisadi Kikwete alikuwa na hisa kwenye hiyo biashara ndiyo maana wakategemea mikutano ya serikali pekee kuendesha biashara zao.
Mkuu,Hotel hii ina ubia na msoga gang,na hizi kelele za magufuli kaharibu,ni ule upuuzi tu wa msoga gang.
Magufuli alikuwa hatari sana kwa ustawi wa nchi na watu wa Kaskazini.
View attachment 2823412
Ngurdoto ilikua/ipo chini ya The Impala Group of Hotels (IGH) ambayo ilikua ina jumuisha Impala Hotel (Arusha), Impala Hotel (Moshi), Ngurdoto Mountain Lodge (Arusha), Naira Springs Hotel (Arusha), Impala Shuttle Services (Arusha) na The Classic Tours and Travels.
IGH ilikua inamilikia na marehemu Faustine Meleo Auye Mrema, mzaliwa wa Rombo, Kilimanjaro aliefariki July ya mwaka 2017. Hoteli yake ya kwanza ya Impala alifungia 1988.Biashara kubwa ya Ngurdoto ilikua mikutano ya kiserikali na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mikutano mingi ya kitaifa na kimataifa ilikua inafanyika Ngurdoto wakati wa awamu ya nne. Ilipoingia serikali ya awamu ya tano biashara hiyo kutoka kwa serikali na mikutano ya kimataifa ilipungua.
Mwaka 2016 ulifanyika kikao cha wakuu wa nchi wa Jumuiya ambapo Hayati Magufuli akalalamika kuhusu gharama za mkutano huo.Unaweza fungus link hii kwa reference ya baadhi nilisema hapo juu.
Baada ya kukosa mikutano ya kiserikali na kimataifa ndio biashara ikaanza kudorora. Na kama wewe ni mjuzi wa mambo kafuatilie chimbuko la Ngurdoto kuanzishwa.Sasa tufast forward (tusogee mbele) hadi awamu ya sita.
Kaingia Raisi Samia na serikali imeanza tena kutumia hizi facilities binafsi kwa ajili ya mikutano mbalimbali. Hivyo kusema Ngurdoto ilidorora kwa sababu ya kukosa watalii na biashara imerudi kwa sababu ya watalii sio kweli. Kwani Tanzani haijawahi kupungukiwa na watalii ukiacha wakati wa COVID-19 2020/21. Mwaka 2017 Ngurdoto iliamuliwa na Mahakama iuze mali zake kuwalipa wafanyakazi 93 TSh milioni 129.
Mwaka huo huo Tanzania ilikua na watalii wa kigeni 1,327,000. Mwaka 2022 Tanzania ilikua na watalii wa kigeni 1,454,920. Utasemaje mwaka 2017 biashara ya Ngurdoto ilidorora kwa sababu ya watalii na kwa sasa imerudi kwa sababu ya watalii? Na hata The Citizen siku tatu zilipo pita imeandika makala yenye kichwa hiki cha habari.
Kiuhalisia Mrema alikua na wake kadhaa. Na kila mke ni kama alimpa himaya yake ya kumanage. Baada ya Mrema kufariki kulitokea mgogoro wa kifamilia kuhusu nani atarithi nini. Oct mwaka huu Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Arusha ilitengua wasimamizi wa mirathi kwenye kesi ilioisha 2017.
Akateuliwa mtoto wake Randle Mrema kuwa msimamizi wa mali.Kwa hiyo tangu 2017-Oct 23 kulikua na kesi ya mirathi hivyo hoteli isingeweza kuuzwa. Ila baada ya shauri hilo la Oct 23, Randle alieteuliwa kuwa msimamizi wa mali aliongea na vyombo vya habari na akasema atafanyia kazi kulipa madeni na kufufua biashara zilizo kufa. Hivyo sidhani kama kati ya Oct-Nov watakua wameiuza hiyo hoteli. Bado iko chini ya familia ya Mrema.
Hujui weweMkuu,
Haijalishi, ni dhahiri taarifa tuliyomezeshwa inaonyesha kufilisika kwa Biashara ya Ngurudoto kulisababishwa na mzozo wa kifamilia kuhusu mirathi na kutokuwepo kwa mikutano ya kiserika na mikutano ya kimataifa. ambayo ilikuwa sehemu kubwa ya mapato yao
Piki, hakuna ushahidi wa moja kwa moja au wowote ule unaoonyesha kuwa Hayat Rais alihusika na kufilisika kwa Hoteli hiyo.
Pepesa kote,IMF, WB, BOT, ADB, utaona hakuna sehemu inasema au kudai kuwa Uchumi wa Tanzania chini ya serikali ya Magufuli uliteremka pamoja nakuwa Uviko 19 ulisambaratisha chumi nyingi Duniani. Itoshe, sera zake zilizoonekana zingweza kuleta athari hasi,zilileta athari chanya. Hiyo ni kusema Uchumi wetu ulikuwa imara na hivyo any notion kwamba uchumi wa Tanzani ulikuwa mbovu na kusababisha kufilisika kwa Ngurudoto, is unfounded.
Tatu, huyu mleta mada sasa ameamua kutia mzozo na migogoro ya Familia ya Auaye Mrema kwenye siasa za majitaka, hiyo siyo sawa kabisa.
Hata hivyo, sio sahihi kusema kwamba serikali ya awamu ya tano ilifilisi Ngurudoto. Ni upotoshaji kwani hakuna ushahidi wa kuunga mkono dai lake kwenye bandiko kuu.
Hujui wewe
Nakunywa uji lishe ninvyoandika hapa na huwa sili maandazi na chapati..Thibitisha nisicho kijua, zaidi ya hapo ulishosema sio muhimu.
Kanywe uji upunguze hasira kwanza.
Kwani jpm yeye alikuwa anonea wivu kila mtu mwenye mafanikio? Basi yule jamaa Bora lilivyodead tuHawa jamaa walishaiteka serikali, mikutano yote ya kijinga ilikua inafanyikia hoteli zao huku mabilioni ya pesa yakilipwa kijanja janja tu
Magufuli alipoingia akakomesha huu ujinga wakaisoma namba
We umejenga hoteli ya biashara eti unategemea mikutano ya serikali??? Pathetic
Mrema. Bana aliondoka na Mali zake akaacha warithi wajinga wajinga tu
Pesa za mikutano ya Jumuiya zinatoka katika bajeti ya Jumuiya ya Africa Mashariki.mtu mwenye akili ataona hapa shida sio magufuli, yani hawa jamaa walitaka kujumilikisha wao hiyo mikutano na walipwe pesa nyingi huku serikali ikiwa inapoteza tu pesa hovyo
Hamjui tu watu walivyokua wanapigwa pesa kizembe, mikutano ya watumishi hata kutoka wilaya Moja tu wao wanaamua kwenda kufanyia kwenye mahoteli ya kifahari huku wakiandikiana posho za kufuruKwani jpm yeye alikuwa anonea wivu kila mtu mwenye mafanikio? Basi yule jamaa Bora lilivyodead tu
Hii inawezekanaje mkuu, km wahusika wanafuatilia vizuri? Nafikiri km ni lawama basi ziwe pande zote!Ukweli ni kwamba, Wafanyabiashara wengi TZ janja janja za ukwepaji Kodi na deals chakaram ndio sehem ya Maisha yao.
Hao jamaa wapuuzi sana! Utafikiri ni matajiri sana!Kumbe Magufuli ndio alisababisha wanafamilia wakaanza kugombea mali za hotel mpaka kugawana funiture……?
Hahaha hivi..toka amekufa huyo Magufuli sasa ni miaka mingapi?