Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sheria kali za uhujumu uchumi zilianzishwa na JIWE a.k.a SHUJAA, na pia ndizo zilizoibua mafisadi waliokwepa kodi na kuhujumu nchi, kama alivyoeleza yey mwenyewe!
Magu alikuwa anafanya ziara za kushtukiza pale TPA na kila mara kukuta flow meter imechezewa, yaani watu wanajichotea mafuta na kupeleka kwenye vituo vya mafuta kwa ule ukali wa Magu, sasa kpindi hiki cha Kizimkazi hajawahi kufanya ziara hapo TPA sijui hivi vituo vitakuja kujengwa hadi juu ya magorofa.
Je, kama Nchi tunaeleka pazuri ama pabaya kwa utawla kukaa kimya?