BBC wamepigwa faini kwasababu gani vile? Hebu jibu kwanza swali ndipo tuendelee na mjadala.Hakuna aliyehamaki..yeye lissu ndio amehamaki sababu kila anachofanya anaona serikali haina habari nae..
Mkuu taratibu. Mabeberu yanaweza kufanya yao yakamjaza MagufuliIla ajue akijaa watu wanatumbua
Ngoja nimsaidie kujibu: BBC wamepigwa fain kwa kurusha matangazo ya mahojiano yao na Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CHADEMA Ndugu Tundu Antipas Lisu.BBC wamepigwa faini kwasabb gani vile? Hebu jibu kwanza swali ndipo tuendelee na mjadala.
Wamekosa weledi na ni aibu kwa shirika kubwa kama hilo kutozwa faini..huwezi kuruhusu hewani habari ya kutuhumu bila kupata mrejesho kwa mtuhumiwa..BBC wamepigwa faini kwasabb gani vile? Hebu jibu kwanza swali ndipo tuendelee na mjadala.
Kama wameonewa waende mahakamani. Hili si ni shirika la kimataifa.Ngoja nimsaidie kujibu: BBC wamepigwa fain kwa kurusha matangazo ya mahojiano yao na Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CHADEMA Ndugu Tundu Antipas Lisu.
Kwa ujibuji huu ndo maana o-level nilipata one
Sindano za moto ziingie taratibu!Ndg Yangu Tundu Lissu ni Numba Nyingine, Wa upande wa Pili Wajiandae tu Kisaikolojia, na Maisha yataendelee. Wameongea Kwa Miaka Mitano huku Wenzao wakiwa Kimya lakini still Hawaamini. Watulie ili wavune walichopanda.
Mkuu zungumzia ili la BBC.Hakuna aliyehamaki..yeye lissu ndio amehamaki sababu kila anachofanya anaona serikali haina habari nae..
Alipofika alijua ataguswa, akaona wamempotezea.
Akawaambia wenzie wabadilishe wimbo wa taifa akadhani ataguswa akaona kimya.
Akaenda uwanja wa taifa na msafara kinyume cha utaratibu akadhani ataguswa watu wakamuambia ageuze kwa amani.
Sasa amebaki anapayuka tu mara nataka mjadala na magufuli, mara rais wa hovyo hovyo, mara magufuli anasema akipita atajiongezea muda.
Yaani anajichanganyachanganya..tutaona mengi. Ila ajue akijaa watu wanatumbua..mwache aendelee kugalagala.
Hapo akijaa watu wanatumbua sijaelewa maana yake mkuu sheiza.Hakuna aliyehamaki..yeye lissu ndio amehamaki sababu kila anachofanya anaona serikali haina habari nae..
Alipofika alijua ataguswa, akaona wamempotezea.
Akawaambia wenzie wabadilishe wimbo wa taifa akadhani ataguswa akaona kimya.
Akaenda uwanja wa taifa na msafara kinyume cha utaratibu akadhani ataguswa watu wakamuambia ageuze kwa amani.
Sasa amebaki anapayuka tu mara nataka mjadala na magufuli, mara rais wa hovyo hovyo, mara magufuli anasema akipita atajiongezea muda.
Yaani anajichanganyachanganya..tutaona mengi. Ila ajue akijaa watu wanatumbua..mwache aendelee kugalagala.
Serikali haijazuia habari za lissu ila vyombo vya habari imeona anaongea pumba zaidi..kama ak8jirekrbusha wakati wa kampeni watampa airtime.Kweli inashangaza sana jinsi serikali inavyomhofia Lissu, manake kuna kitu kikubwa hapa... Pia jinsi wanavyozidi kuzuia habari za Lissu ndio wanawasha moto zaidi. Navyoijua serikali hii itavurunda sana mwaka huu hadi tufike October.
Basi endeleeni hivyo huku ccm ikizama kwenye tope taratibu.Serikali haijazuia habari za lissu ila vyombo vya habari imeona anaongea pumba zaidi..kama ak8jirekrbusha wakati wa kampeni watampa airtime.
Kuweka sawa BBC hawajapigwa faini ,wamepigwa star tv kwa kurusha mahojiano hayo ya BBC.Wamekosa weledi na ni aibu kwa shirika kubwa kama hilo kutozwa faini..huwezi kuruhusu hewani habari ya kutuhumu bila kupata mrejesho kwa mtuhumiwa..
Hiyo katika uandishi inaitwa story balancing. Hapo wamesaidiwa kuongezewa skills za uandishi.
Haina Habari naye au wanamhofia hajarudi kichwakichwa. Na ana exposure yakutosha ughaibuni.Hakuna aliyehamaki..yeye lissu ndio amehamaki sababu kila anachofanya anaona serikali haina habari nae..