Magufuli na Serikali yako hamaki yenu inampandisha chati Lissu

Magufuli na Serikali yako hamaki yenu inampandisha chati Lissu

Lisu hajawahi kutukana. Lkn nimemsikia mara kadhaa uchwara akiwaita watanzania tena mawaziri kuwa wapumbavu.
Hahahaaa...... Maccm ni magumu kuelewa halafu mepesi kusahau ...
 
Ndg Yangu Tundu Lissu ni Numba Nyingine, Wa upande wa Pili Wajiandae tu Kisaikolojia, na Maisha yataendelee. Wameongea Kwa Miaka Mitano huku Wenzao wakiwa Kimya lakini still Hawaamini. Watulie ili wavune walichopanda.
Na ndio kosa walilofanya kwa kuwazuia kuongea. Maana wangejua udhaifu wao. Sasa hivi ni jioni mno. Wameshikwa kila mahali. Bara na Zanzibar hakuna kupumua.
 
Lisu hajawahi kutukana. Lkn nimemsikia mara kadhaa uchwara akiwaita watanzania tena mawaziri kuwa wapumbavu.
Basi mwambieni apige benchi.. Kenya si kuna medias pia aende tu
 
Kosa la kufigisu mikutano ya kisiasa lilikua kubwa sana. Inakua kama wale wamarekani waliofungiwa kipindi cha korona then jamaa Floyd akapigwa risasi na polisi. Angalia yale maandamano yao utadhani hawakujua korona bado ilikuwepo, waliunga mkono maandamano mpaka watu wasiotaka
 
Serikali haijazuia habari za lissu ila vyombo vya habari imeona anaongea pumba zaidi..kama ak8jirekrbusha wakati wa kampeni watampa airtime.
Kwa hiyo wanayoongea ccm juu ya wapinzani yote ni maneno ya kimalaika hayana dosari?

Musiba kila siku anatangaza kúuwa na kuvunja watu viuno nani amekemea?

Magufuli huyo ndio hivyo ni mbaguzi na wasaidizi wake leo hii mnaona ya Lissu tu wacheni ujuha wenu.

Kupendwa hakulazimishwi na msilazimishwe mpendwe.
 
Back
Top Bottom