James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Kwani tayari uchaguzi umeshafanyika?
Nimezingatia hii sentence [emoji1542][emoji1542][emoji1542][emoji1542]na utufanyie mengi kwenye kipindi chako cha pili.Najua bado haujafanyika ndio maana namtakia uchaguzi wenye baraka
Nimezingatia hii sentence [emoji1542][emoji1542][emoji1542][emoji1542]na utufanyie mengi kwenye kipindi chako cha pili.
Thanks [emoji1752]Hapana sikuwa na maana kama lazima atashinda bro. Nitarekebisha sentensi yangu. Shukran
Thanks [emoji1752]
Hakuna ubadhirifu wala ufisadi wowote uliodhibitiwa....... Pamoja na hayo lakini pia yabidi ni kutendee haki kwa mazuri uliyoyafanya kama kudhibiti ubadhirifu, ufisadi, ukusanyaji wa mapato ya serikali, kujenga vituo vya afya, kupiga vita uzembe n.k...........
Kwani tayari uchaguzi umeshafanyika?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Magharibi[emoji2827][emoji2827][emoji2827]"The NEC chairman ninampa mshahara na gari na marupurupu , halafu ashindwe kunitangaza kuwa nimeshinda ??!!".
Hiyo ni kauli iliyopata kusemwa HADHARANI; zamani ilipatwa kusemwa na kiongozi mmoja wa nchi moja ya Africa magharibi.
Hakuna ubadhirifu wala ufisadi wowote uliodhibitiwa.
Kilichofanyanyika ni kudhibii wapiga kelele ili walaji wale kimya kimya.
Yuko wapi CAG kama watu ni wasafi.
Watu wote wanaoangalia mapato wamedhibitiwa.
Opposition parties
CAG
PAC
Media.
Sasa kusema ubdhirifu umepungua, umetumia vigezo gani au propaganda za Jiwe.
Hata hivyo vituo vya Afya ni propaganda tu.
Tangu mwaka 2015 hakuna ajira mpya za Afya za kueleweka kwahiyo wmejenga majengo ya kutunzia popo ( kama yapo )
Kumwamini Magu unatakiwa kuwa na mtindio wa ubongo.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Magharibi[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Yes, It was firstly spoken by a former president of one of West Africa countries during general election in the country in the wake of a question from one west media on how he saw the trend of the election at that time, (I don't remember the president and the country).
The same talk you hear in Tz (from mkuu wa kaya) is just a copy-paste of what was said before by the president of the west Africa who aspired at one time for second term in the office.
Huyo rais aliye tamka huo upupu bado tunaye duniani?Yes, It was firstly spoken by a former president of one of West Africa countries during general election in the country in the wake of a question from one west media on how he saw the trend of the election at that time, (I don't remember the president and the country).
The same talk you hear in Tz (from mkuu wa kaya) is just a copy-paste of what was said before by the president of the west Africa who aspired at one time for second term in the office.
Huyo rais aliye tamka huo upupu bado tunaye duniani?
Story yako ingenoga kama ungemtaja na huyo nduli aliyetamka hivyoMkuu, ni miaka mingi hata sikumbuki tena, ila ni rais mmoja kutoka west Africa--- hicho tu ndicho nakumbuka.