Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili

Ivi claouds ndo mdudu gani ujinga uo km walienda kupelelza kitu
 
Dah, umeandika yote yaliyopo kichwani mwangu, natamani aendelee kutuongoza japo sitompa kura kwa sababu nililia sana siku kupigwa risasi Tundu lissu, so nikimpa kura Mungu ataniadhibu kwa unafiki. All in all rais kafanya makubwa.
 
November 2020 katika awamu yake ya pili kazi ya kwanza na ambayo itakuwa kwa kasi ni Urudishwaji wa Nyumba za Serikali na za mashirika ya umma zilizotaifishwa wakati wa awamu na tatu na nne! Mkataba ulikuwa hakuna kuuza na kufanya mabadiliko kwenye nyumba hizo mpaka baada ya miaka 25, cha ajabu wengine washaziuza kwa thirty party!!! Magufuli hana simila, ninaimani zitarejeshwa!
 
Pia sheria ya vyombo ya habari na habari kwa ujumla wake ni uonevu kwa wananchi.
 
Awe makini kipindi gani cha pili??? Kuanzia November 2020 atakuwa Chato anaugulia maumivu ya kupigwa vibaya na Lissu kwenye sanduku la kura!!

Ndoto za mchana kweupe! Membe mwenyewe atafuata njia aliyotumia Mhe Lowassa! Msipoteze muda wenu kushabikia wapinzani (ACT-Wazalendo, Chadema, NCCR, CHAUMA etc) kwani they lack unity, ni kama yale ya 2015 yatarudia/yamejirudia. Hii inadhihirisha kuwa ni CCM kama kawaida!!
 
True cheki mfano muuza mahindi ana bastola,Mungu uwaumbua sana,kutojiamini,wepesi,mtupu uncivilized and matured

Mkuu haikuwa bastola ile yule kaka huwaga anauza na madafu pia kwa hiyo kile kilikuwa ni kile kijiti cha kutolea nyama ya dafu!
 

Kadhibiti vipi ubadhirifu wakati serikali yake inasamehe mafisadi akina Lugola na Andengenye?

Kadhibiti vipi ufisadi wakati Trilion 1.5 hatujui zilipo?

Kadhibiti vipi ufisadi wakati utawala wake ulikithiri kwenye kununua wapinzani ili waunge mkono juhudi?.

Kadhibiti vipi ufisadi wakati hataki manunuzi ya ndege yakaguliwe na CAG?

Kadhibiti vipi ufisadi wakati kanunua wapinzani ili kurudia chaguzi na kutumia hovyo hela za wananchi kurudia chaguzi zisuzo na kichwa wala muguu?

Jiwe ni msanii tu hakuna cha kudhibiti ufisadi wala nini, sema kavibana vyombo vya habari na bunge kaliweka mfukoni ndiyo maana husikii habari za ufisadi nchini!. Lakini ufisadi upo teba ni wa kutisha
 
Kudhibiti ufisadi? 1.5 Trl ziko wapi au unadhani kuna wajinga humu?
 
Hajielewi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza itakuwa huyu
 
Anatumia id ipi hapa Jf?
 
"The NEC chairman ninampa mshahara na gari na marupurupu , halafu ashindwe kunitangaza kuwa nimeshinda ??!!".

Hiyo ni kauli iliyopata kusemwa HADHARANI; zamani ilipatwa kusemwa na kiongozi mmoja wa nchi moja ya Africa magharibi.
Iliwahi kusemwa na Magufuli pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…