Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke

Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo

1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru

2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera

3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu

4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa

5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara

6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli

7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea

8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko

Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake

RIP Hayati Magufuli
Aliacha legacy ya kuuwa watu na wengine kuwaacha vilema. Ni raisi wa kwanza kuwa raisi bila kushinda uchaguzi mara mbili.
 
Kwenye bodi ya mikopo elimu ya juu (heslb) aliweka Retantion fee iliyopelekea wanufaika kulipa adhabu isiyolipika na kupelekea kulipa maradufu.
Maumivu makali nisiyoweza kuisahau kipindi cha awamu ya 5
Yule haifai hata Kwa kulumangia
 
Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke

Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo

1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru

2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera

3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu

4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa

5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara

6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli

7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea

8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko

Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake

RIP Hayati Magufuli
. mbona hata hizo za kwako ulizozitaja pia ni Legacy, ingawa ni hasi- i.e "the long-lasting impact of particular events, actions, etc. that took place in the past, or of a person’s life", bofya hapa Magufuli's legacy will never be forgotten hii huitaki?
 
Nimekumbuka yale mabehewa 50 yaliyokuwa bandarini kwa miezi 19
Na zile gari ndogo ndogo sijui niziite kirikuu ambulances
Eti hazijulokani za nani
Nchi imepita kwenye mambo ya ajabu kweri kweRi
 
Pamoja na kumchafua kote.. Legacy ya Magufuli ipo mioyoni mwa Watanzania, siku ya kuuaga mwili wake pale uwanja wa Mkapa Watu 45 walipoteza maisha kwa mkanyagano pale uwanjani, hakuishia hapo wakavunja uzio wa Uwanja wa ndege kuikimbilia ndege iliyobeba mwili wake.. ikitokea hao/huyo anayekutuma kuandika habari za kumchafua Hayati Magu, Je akifa ataliliwa kwa Machozi na damu kama ilivyokuwa kwa Magu ?
 
Pamoja na kumchafua kote.. Legacy ya Magufuli ipo mioyoni mwa Watanzania, siku ya kuuaga mwili wake pale uwanja wa Mkapa Watu 45 walipoteza maisha kwa mkanyagano pale uwanjani, hakuishia hapo wakavunja uzio wa Uwanja wa ndege kuikimbilia ndege iliyobeba mwili wake.. ikitokea hao/huyo anayekutuma kuandika habari za kumchafua Hayati Magu ?ataliliwa kwa Machozi na damu kama ilivyokuwa kwa Magu ?
Kweli we ndo Mtanzania mnyoge
Kama alivowaita mwendazake
 
SGR😭😅Gani aliacha ? Bila kumaliza wala kichwa cha train hata kimoja

Mradi wa umeme ni uzalishaji, usambazaji yeye kwenye mradi wa umeme yeye alifanya lipo
Sawa nyie mmelimaliza na mmesambaza vipi unamnufaishaje mwananchi mwenye kipato kidogo..? Je ananunua kwa bei nafuu au mama anaupiga mwingi
 
Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke

Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo

1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru

2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera

3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu

4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa

5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara

6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli

7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea

8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko

Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake

RIP Hayati Magufuli
Kwa upeo wako wa akili nakubaliana na ww.
 
Back
Top Bottom