Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

Huyu ataliliwa machozi ya damu na kina Mwashambwa
 
Hakuta kuja tokea kiongozi wa aina ile tena.
Alikuwa tishio kwa mafisadi, wala rushwa na walevi na malaya wa madaraka.
Hata kuondoka kwake, ni mpango ulifanyika.

Sasa wako huru, wanaimba nyimbo za kutukuza na kuabudu na ma pambio sio juu ya raisi wao.
Ni juu ya udhaifu wake
 
Kuhusu COVID 19 Magufuli alikuwa sahihi zaidi ya 78%.
Umefuatilia kesi za fidia au kuwajibishwa taasisi na watu sababu ya chanjo za huo ugonjwa?
Una habari kuna taarifa kufungia watu ndani kulichangia vifo vingi nchi zilizo endelea?
Why Anthony Fauci had to be pardoned pre-emptively by Pres. Joe Biden?
 

Khe! Kwamba hana zuri ama baya? Hapana hapana. Asiyekua na ligasi ni maiti tu maana maiti haiwezi fanya chochote.
 
Huyo Kizimkazi ameacha legacy ipi? Au kununua umeme kutoka Ethiopia?
 
Uzi huu uko kihisia zaidi na kimtazamoo ,sio kweli hata kidogoooo
 
Vita ya uchumi haiwezi kupendezwa na mabeberu (NEVER EVER).

Hata wenyeji hutumika kuangusha au kudhoofisha jitihada za maendeleo ya nchi na kuwaona viongozi wachapa kazi kama sehemu ya matatizo (refer hali ya Libya na Gadafi)

Cruelity ni sehemu ya maendeleo (soma vitabu vya dini na historia ya nchi zilizoendelea kuwa walifanya nini)- kuna price ya kulipa kudevelop kiuchumi. Walioendelewa hawakuweka Demokrasia mbele.
 
Nyie ndo mliitwa wanyonge na mwendazake
Vita ya uchumi aliipigana na nani?
Vita ya uchumi inahusika vipi na kuhujumu uchaguzi, kufirisi, Akina na Sabaya kukata watu mikono n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…