Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,842
- 3,618
Conclusion ndiyo hii tunayoiona katika kazi za wahitimu wetu waliotokana na mfumo wetu wa elimu... so what? That everyone of us knows! What's your conclusion?
Hahaha elimu ya kumfanya muhitimu atimize ndoto yake pia zipo, mfano mzuri SIDO na VETA, sinafundisha mamalishe na mafundi uashi kule, na wakitoka huko wanajiajiri mitaani.Kuna haja ya serikali kuboresha mitaala ya sasa iliyolenga kumfanya mhitimu kuajiriwa tu ofisini na kuifanya elimu yetu kumuwezesha mhitimu kutimiza ndoto zake na sio kusubiri ajira ya serikali pekee.
Conclusion ndiyo hii tunayoiona katika kazi za wahitimu wetu waliotokana na mfumo wetu wa elimu
Hahah we jamaa daah,kuna mwandishi aliulizwa na mzee baba do you love corruption?Baadae nikasikia tena Corruption is the cancer.Baadae kukawa tena na kitu kama hiki 'human right is not my priorities'Sifa za kijinga. Alienda Uganda akashindwa kujibu maswali mpaka M7 akamsaidia.
Wanataka tuamini kuwa Mwl.Nyerere alitutengenezea mfumo wa elimu unaofaghili na kukubali kuonewa kunyanyaswa, kuteswa au kudhalilisha Watanzania wenzetu? Tuliosoma wakati wa Mwl.Nyerere,tuliokuwepo kwa kipindi hicho tunafahamu kuwa haya yanayofanyika siyo.Mwalimu angepata fursa ya kuja kututembelea leo,hakika atafariki instantly kwa atakayoyakuta.Mkitaja elimu ya "MTU FURANI" jina la Ben Saanane linakuja.
Ndio maana mambo yanakwenda mrama sana siku hizi.Ndiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali.
Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya kikoloni kwa 100% lakini ndiye aliyeasisi mfumo wa elimu ya Tanzania huru, hadi leo hii tuna Magufuli kama zao la elimu yetu wenyewe kwa 100%.
Kwani JK alisoma wapi..? Kwa taarifa tunazozijua JK naye pia amesoma hapa nchini kuanzia elimu ya msingi,sekondari hadi chuo kikuu cha Dar as salaam hivyo JPM sio wa kwanza alietokea katika mfumo wa elimu wa Tanzania.Ndiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali.
Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya kikoloni kwa 100% lakini ndiye aliyeasisi mfumo wa elimu ya Tanzania huru, hadi leo hii tuna Magufuli kama zao la elimu yetu wenyewe kwa 100%.
Tabu yale wanaipata watawaliwaNdiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali.
Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya kikoloni kwa 100% lakini ndiye aliyeasisi mfumo wa elimu ya Tanzania huru, hadi leo hii tuna Magufuli kama zao la elimu yetu wenyewe kwa 100%.
Hapendi show off rais wetuSifa za kijinga. Alienda Uganda akashindwa kujibu maswali mpaka M7 akamsaidia.
angekuwa anaHahaha elimu ya kumfanya muhitimu atimize ndoto yake pia zipo, mfano mzuri SIDO na VETA, sinafundisha mamalishe na mafundi uashi kule, na wakitoka huko wanajiajiri mitaani.
Hivi vyuo vingine vyote wahitimu lazima waajiriwe na Serikali, fikiria rais wetu anayeongelewa hapa asingeajiriwa serikalini angekuwa wapi leo?!