MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Vipi kuhusu TV zenu za ITV na Channel Ten?Atamlinda kwa kuwa Star TV imekuwa ikifika sheria, maadili, na weledi ktk fani ya Habari. Kwa kutamka hivyo, Magufuli anajua kuwa Star Tv inapaswa kuadhibiwa.
Sasa wenye akili ndio tujue kama Dk. Magufuli anaweza kweli kuleta mabadiliko ya Utendaji ktk CCM na Serikali, ama la.
Vv
maghufuli akishinda atakuwa rais bomu kuliko jk. mungu aepushie mbali...
Ndugu wana-JF habarini.
Mimi kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu, mnalichukuliaje suala la mgombea urais kupitia CCM kumwambia Antony Diallo kuwa atamlinda saaana kupita maelezo pindi atakapoingia Ikulu?
Ndugu zanguni imekaaaje hii, kwa kiongozi kutamka hivyo mbele ya wa wana-CCM na Wa-tz kadhaa bila aibu!?
Vipi kuhusu TV zenu za ITV na Channel Ten?