Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
- Thread starter
-
- #301
Kumbuka wakati akiitoa kauli hii Rais mwenyewe alitamka kwamba hii ni habari ambayo ameamuwa kuisema yeye binafsi kwa mara ya kwanza, lakini HAIJAWAHI KUSEMWA/KUTAMKWA POPOTE HADHARANIDuu! basi poa mkuu, ka ni ishu sensitive.
Mkuu.... Wakati mwingine, ebu upunguzage mahaba basi kwenye mambo ya msingiMungu alimlinda mjaa wake
Ili kuja kuwatumikia Watanzania
Mungu aendelee kumpa afya njema Rais Magufuli
Mkuu mbona amefanya jambo jema kuombea uhai wa binadamu mwenzake!Mkuu.... Wakati mwingine, ebu upunguzage mahaba basi kwenye mambo ya msingi
Mkuu.... Wakati mwingine, ebu upunguzage mahaba basi kwenye mambo ya msingi
Hili swala mara ya pili nalisoma humu jukwaani jamani linaukweli wowote au ndio trend za kishamba kama ile ya kumzushia kifo?
Sumaye hakuwahi kuwa na ushirika na wawili haoHao Mawaziri ni Sumaye, Kikwete na Lowassa, mnaficha ficha kitu gani jamani?
ha ha ha ha ha ha inategemea na life style ya mtu mkuu wengine kusoma ni sehemu ya maisha yetu. Ila kuna wengine wanasoma kwasababu wana mitihani. Ila siku ukipata addiction ya kusoma utanielewa alafu watanzania wengi wanashindwa kusoma vitabu kwasababu ya ishu ya kipato wengi wanatumia muda mwingi ku hustle kutafuta pesa so muda wa kusoma wanakosa umaskini kitu kibaya sana.Hakuna nwenye hyo kiu!labda ww tu!