Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Duu! basi poa mkuu, ka ni ishu sensitive.
Kumbuka wakati akiitoa kauli hii Rais mwenyewe alitamka kwamba hii ni habari ambayo ameamuwa kuisema yeye binafsi kwa mara ya kwanza, lakini HAIJAWAHI KUSEMWA/KUTAMKWA POPOTE HADHARANI
 
Nimejaribu kuwaza na kuwazua nikajiridhisha pasi na shaka kuwa waliomnywesha Magufuli sumu ni miongoni mwa waliokuwa mawaziri katika serekali ya MKAPA, anayewakumbuka mawaziri wa MKAPA anikumbushe nijaribu kuangalia sura za sumu sumu tafadhali,
 
Hili swala mara ya pili nalisoma humu jukwaani jamani linaukweli wowote au ndio trend za kishamba kama ile ya kumzushia kifo?
 
Hakuna ushahidi kama huyu jamaa alipewa sumu, waliopewa sumu tuliwaona, wengine walikufa wakiwa wamekaa kitako, wengine walinyonyoka nywele.. nk

Huyu jamaa anataka huruma kwa Watanzania, anajua Watanzania washamchoka...
 
Wenyewe kwa wenyewe wananyweshana sumu, je watakuwa walishaua watanzania wangapi?
 
Tume iundwe pia kuchunguza masaibu yaliyowakuta akina Beny Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu,Godfrey Luena, Daniel John nk, hiyo ndio itakuwa haki, tofauti na hapo ni takataka tu.
 
Wilderness Voice,
Mmmmh naona wakati huo ndo kulikuwa na vyombo vya habari vingi kuliko sasa. Kwa uhakika sana sasa hivi hakuna kabisa vyombo habari. Na kuhusu kwenda ujarumani alikwenda kuwekewa pace maker
 
Hakuna nwenye hyo kiu!labda ww tu!
ha ha ha ha ha ha inategemea na life style ya mtu mkuu wengine kusoma ni sehemu ya maisha yetu. Ila kuna wengine wanasoma kwasababu wana mitihani. Ila siku ukipata addiction ya kusoma utanielewa alafu watanzania wengi wanashindwa kusoma vitabu kwasababu ya ishu ya kipato wengi wanatumia muda mwingi ku hustle kutafuta pesa so muda wa kusoma wanakosa umaskini kitu kibaya sana.
 
kifinga,

Sidhan kama unanipita katika kusoma vitabu! sidhani! Ingawa kidogi nimepunguza! Mimi mwenyewe ni hobby yangu hadi nipo kwenye groups. lakini sioni faida kusoma kitabu cha Ben!
 
Kumbe hata vifo vya Komba na Balali huenda ni michezo? Hata hivyo yeye sasa ni Rais hana haja ya kumwogopa mtu awataje na wafanyiwe uchunguzi na kushtakiwa kwa kutaka kuua
 
Back
Top Bottom