Ni hao hao.watoa sumu !Siasa ni siasa tu, mmesahau ya Tundu Lissu kumiminiwa marisasi 19 mwilini bila huruma?
Hata JKT hajapita kashika SMG kaachia moja kasikia mlio miguu, mikono yote kitete ; Mtu asiye na akili hata busara huwa hana... execution ikawa incomplete yaani below 15%; majibu kwa wakubwa zake hayapo inabakia aibu tupu.Kama yule jamaa ! Badala ya kupiga mtu zote 19 anapiga kwenye mlango wa Land Cruiser ! Hovyo sana.
Wahusika ni wakina nani? watu gani hao wakubwa waliompa sumu huyo Magufuli? Haitoshi kusema tu alilishwa sumu, awe specific, aina ya sumu, muda, alitibiwa wapi na wakubwa hao waliohusika walichukuliwa hatua gani. Otherwise hiyo ni hoax tu.Kwa tunaojua na kufatilia mambo ya siasa ni kweli huyu Mhe. Wakati ule alilishwa sumu. Na alipelekwa kutibiwa Ujerumani. Baada ya kurudi alipewa ulinzi wa uhakika. Na ikawa ngumu tena kumuona Magufuli akijichanganya kama zamani. Swala hili kwa wakati huo alikuenea sana kwani hakukuwa na vyombo vingi vya habari kama sasa. Ila kwa wale tuliokuwa tukifuatilia siasa za wakati huo kwa karibu tulizipata hizo nyepesi nyepesi.
Komba kumsapoti Lowasa ndio kulimgalimu alikua na deni kubwa CRDB bank baada ya kutamka anamsapoti lowasa tu kwenye kile kipindi cha eatv cha salama walikua wanaita mkasi nazani da CRDB wakapewa maelekezo ha ha ha ha ha trela wakataka kuuza kiwanja chake nazani kina petrol station aliweka kama dhamana wakati huo shule yake ya bakili muluzi nayo inaandamwa na madeni na haifanyi vizuri kupiga simu kwa PM amsaidie holaaa mzee presha juu dakika sifuri akakata moto wakampeleka TMJ pale story ikaishia hapoKumbe hata vifo vya Komba na Balali huenda ni michezo? Hata hivyo yeye sasa ni rais hana haja ya kumwogopa mtu awataje na wafanyiwe uchunguzi na kushtakiwa kwa kutaka kuua
Alipewa sumu Waziri mmoja na wote tulishuhudia mpaka nywele ziligoma kuota tena
Ukute alipata food poison akaharisha basi ndio imekua nongwa sumu? si amuulize Mwaki-mango?
Alaa kumbe hakipo katika lugha ya kiswahiliI wish kitabu cha mzee mkapa kije na version ya kiswahili ili watanzania wengi wakisome
Kukosana kwa JK na ENL ilikuwa divine intervention kuliokoa taifa.Mkuu, hizi siasa zina mengi ya chini ya kapeti ambayo huifikia jamii kwa njia ya minongono ya mitaani.
Nasikia mhusika mkuu ni yule ambaye alimuachia jimbo Mama mmoja hivi anavaa mawani na ni mwanaharakati wa haki za kinamama.
Wote wawili wanatoka lile eneo ambalo ukiwa unataka kukata kona kuelekea mto wa mbu kama unatoka Arusha, basi haukati kona unaendelea mbele.
Mitandao ya JK na ENL ilitaka kutupeleka pabaya, maslahi ya kisiasa na yale ya binafsi hayakuwa na lengo zuri kwa taifa hili.
Umeniachia chemsha bongo Kali, ngoja nirudi kusoma tena maana umenitoa kabisa kwenye track!Mkuu, hizi siasa zina mengi ya chini ya kapeti ambayo huifikia jamii kwa njia ya minongono ya mitaani.
Nasikia mhusika mkuu ni yule ambaye alimuachia jimbo Mama mmoja hivi anavaa mawani na ni mwanaharakati wa haki za kinamama.
Wote wawili wanatoka lile eneo ambalo ukiwa unataka kukata kona kuelekea mto wa mbu kama unatoka Arusha, basi haukati kona unaendelea mbele.
Mitandao ya JK na ENL ilitaka kutupeleka pabaya, maslahi ya kisiasa na yale ya binafsi hayakuwa na lengo zuri kwa taifa hili.