Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Alipewa sumu Waziri mmoja na wote tulishuhudia mpaka nywele ziligoma kuota tena
Wahusika ni wakina nani? watu gani hao wakubwa waliompa sumu huyo Magufuli? Haitoshi kusema tu alilishwa sumu, awe specific, aina ya sumu, muda, alitibiwa wapi na wakubwa hao waliohusika walichukuliwa hatua gani. Otherwise hiyo ni hoax tu.
Wilderness Voice,
Mmmmh naona wakati huo ndo kulikuwa na vyombo vya habari vingi kuliko sasa. Kwa uhakika sana sasa hivi hakuna kabisa vyombo habari. Na kuhusu kwenda ujarumani alikwenda kuwekewa pace maker
Kweli Mkuu Mzee anafunguka makubwa mno
Siasa kitu kibaya sana kwakweli,hasa Afrika
kwa hiyo Lisu!!Hapa ndiyo huwa tunasema when GOD chose you nothing bad will hapen to you
Wewe ni mchaguliwa
am proud of you Sir
KAMA MAGUFULI AMESEMA AMELISHWA SUMU HALAFU AMEACHA HEWANI DETAILS BASI SIYO MKWELI, KUULIZA SIYO CHUKI BINAFSI. NI HAKI YA SISI WANANCHI AMBAO KIMSINGI NI WAAJIRI WAKE TUJUE KILICHOMPATA MTUMISHI WETU. AMESEMA ALILISHWA SUMU NA WATU WAKUBWA...TUNATAKA TUJUE ILI MAWAZIRI WENGINE WASIPATE MATATIZO HAYO TENA UKIZINGATIA HAO WAUAJI BADO WAPO MITAANI KITU AMBACHO NI HATARI KWA MAISHA YA WANAOFANYA KAZI KWA KUJITUMA KAMA MAGUFULI. SIWEZI KUANDIKA WARAKA (WEWE UMESEMA WALAKA....NADHANI UNAMAANISHA HILO, KWA KUKUSAIDIA JARIBU KU-PROOF READ KABLA HUJAACHIA MAANDIKO YAKO) KWENYE GAZETI...MBONA WEWE HUJAANDIKA KWENYE MAGAZETI, HAPA UNAFANYA NINI? UNAONA ANAYOYAFANYA NI MAZURI...AU MAHABA NA MSUKUMA MWENZIO YANAKUSUKUMA UANDIKE ULIYOYAANDIKA?Wewe ni Raia mwema wa Tanzania, una haki ya kumuuliza yeye kwa kuandika walaka magazetini au kutuma barua Ikulu ili ajieleze. Mie nilisema nilicho kisikia wakati huo. Siongozwi na chuki binafsi juu ya mtu. Bali nasema kilichotokea wakati huo. Hivyo mwandikie barua natumai atakujibu maswali yako.
KAMA MAGUFULI AMESEMA AMELISHWA SUMU HALAFU AMEACHA HEWANI DETAILS BASI SIYO MKWELI, KUULIZA SIYO CHUKI BINAFSI. NI HAKI YA SISI WANANCHI AMBAO KIMSINGI NI WAAJIRI WAKE TUJUE KILICHOMPATA MTUMISHI WETU. AMESEMA ALILISHWA SUMU NA WATU WAKUBWA...TUNATAKA TUJUE ILI MAWAZIRI WENGINE WASIPATE MATATIZO HAYO TENA UKIZINGATIA HAO WAUAJI BADO WAPO MITAANI KITU AMBACHO NI HATARI KWA MAISHA YA WANAOFANYA KAZI KWA KUJITUMA KAMA MAGUFULI. SIWEZI KUANDIKA WARAKA (WEWE UMESEMA WALAKA....NADHANI UNAMAANISHA HILO, KWA KUKUSAIDIA JARIBU KU-PROOF READ KABLA HUJAACHIA MAANDIKO YAKO) KWENYE GAZETI...MBONA WEWE HUJAANDIKA KWENYE MAGAZETI, HAPA UNAFANYA NINI? UNAONA ANAYOYAFANYA NI MAZURI...AU MAHABA NA MSUKUMA MWENZIO YANAKUSUKUMA UANDIKE ULIYOYAANDIKA?
Lakini yeye alihudumiwa matibabu na serikali na kupewa ulinzi.
Hahahahahahaha hahahahaaaaaaa hahahahaahahahhhahahaaaaaaaaa hahahahahhaaaahahahhahaaaaaaaaaa....Magufuli ni mtu wa kusamehe, hana kinyongo
Kama hujafa hiyo sio sumu!Duu kwahiyo wanaokunywa sumu wote wanakufa?
It is true the same to Tundu LissuHapa ndiyo huwa tunasema when GOD chose you nothing bad will hapen to you
Wewe ni mchaguliwa
am proud of you Sir
Naona unakurupuka, nahaki ya kuandika wewe umeuliza swali kwangu nimekutaka muulize yeye ndiye mhusika. Mie nimekupa taharifa ya kile nilicho kisikia wakati huo. Au unaruhusiwa kufungua kesi kumtaka Rais atoe maelezo kwa umma nini kilitokea. Natumaini chini ya Administrative Law waweza fanya hivyo. Pia nawe jaribu ku proof read unapoandika, (siyo halafu bali ni harafu) nimekumbuka msemo usemao nyani haoni kundule. Pia swala la ukabila ni weye mie sina ushabiki huo. Nimetowa maelezo nini kilitokea kwamba nilisikia kipindi hicho. Nashangaa povu linakutoka unaongelea kabila. Samahani mimi sihitaji kutambika. Hivyo makabila kwangu hayanihusu. Tanzania ya leo unaongelea ukabila!
Tanzania ya leo naongelea ukabila? Wewe unaona Magufuli anafanya nini anavyowabeba kanda yako ya ziwa na wasukuma wenzio? Huoni ukabila anaoendekeza? Wewe kwa ufikiri wako unaona unasema siyo "HALAFU' ila ni 'HARAFU" umesoma shule gani na hadi darasa la ngapi na kama ulifaulu somo la Kiswahili.
Unampenda rais anayepoteza watu, asiye na hekima wala maarifa. Sishangai umefanana naye. Nenda kachukue kozi ya Kiswahili, haupo usukumani.Kwa kifupi sina mawazo kama yako mafupi ya kuongelea ukabila. Mie naongelea "Facts in issue" na base katika (material not immaterial). Kwa taarifa mie sijasoma hata hilo darasa la saba sikumaliza. Unajingine tena? Pia kiswahili nilipata zero. Umeridhika!
Wewe uliesoma naunae fahamu kiswahili fasaha, mbona umesahau mada yako ya awali unarukaruka hujui nini ulichokuwa ukibishania! Hongera kwako, mwana wa ukabila! Mie nampenda Rais wangu na najivunia nchi yangu.
"kusamehe"! Labda kama hili neno limebadilishwa maana na watu wa TUKI!Magufuli ni mtu wa kusamehe, hana kinyongo
Unampenda rais anayepoteza watu, asiye na hekima wala maarifa. Sishangai umefanana naye. Nenda kachukue kozi ya Kiswahili, haupo usukumani.
Usihadaike,ni kiki tu hiyo!Najiuliza apa why hawakuchukuliwa hatua? Maana inaonyesha wanafahamika vizuri sana.
Najiuliza maswali mengi bila majibuUsihadaike,ni kiki tu hiyo!