Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Alipewa sumu Waziri mmoja na wote tulishuhudia mpaka nywele ziligoma kuota tena

asante kwa kulijua hilo only Mwakyembe ndio alilishwa sumu huyu mwingine mbwembwe tuu anataka kusema alilishwa sumu ili aje kusema akili ziliishia kwenye sumu ndio maana ana maamuzi ya hovyo?
 
Wahusika ni wakina nani? watu gani hao wakubwa waliompa sumu huyo Magufuli? Haitoshi kusema tu alilishwa sumu, awe specific, aina ya sumu, muda, alitibiwa wapi na wakubwa hao waliohusika walichukuliwa hatua gani. Otherwise hiyo ni hoax tu.

Wewe ni Raia mwema wa Tanzania, una haki ya kumuuliza yeye kwa kuandika walaka magazetini au kutuma barua Ikulu ili ajieleze. Mie nilisema nilicho kisikia wakati huo. Siongozwi na chuki binafsi juu ya mtu. Bali nasema kilichotokea wakati huo. Hivyo mwandikie barua natumai atakujibu maswali yako.
 
Wilderness Voice,
Mmmmh naona wakati huo ndo kulikuwa na vyombo vya habari vingi kuliko sasa. Kwa uhakika sana sasa hivi hakuna kabisa vyombo habari. Na kuhusu kwenda ujarumani alikwenda kuwekewa pace maker

Nikiri sikufanya sensa ya vyombo vya habari, hivyo No research no rights to speak. Nisije kuwa muongo kuhusiana wakati huo kama ndo vyombo vya habari vilikuwa vingi. Make hata tu hizi watsup, jamiiforums, Instagram, hazikuwepo wakati huo, hakukuwa na matumizi makubwa ya Youtube kama sasa, private radio ya uhakika ilikuwa RFA na Radio one, Radio Tanzania,Tv zilikuwa TVT, ITV, Star TV, Chanel Ten or DSTv kwa kifupi hivi vichache navijua. Kuhusu kwenda Ujerumani sikufatilia sana ila nilinukuu baadhi ya vyombo vya habari vilivyowasilisha hiyo taarifa. No more comments on that!
 
Wewe ni Raia mwema wa Tanzania, una haki ya kumuuliza yeye kwa kuandika walaka magazetini au kutuma barua Ikulu ili ajieleze. Mie nilisema nilicho kisikia wakati huo. Siongozwi na chuki binafsi juu ya mtu. Bali nasema kilichotokea wakati huo. Hivyo mwandikie barua natumai atakujibu maswali yako.
KAMA MAGUFULI AMESEMA AMELISHWA SUMU HALAFU AMEACHA HEWANI DETAILS BASI SIYO MKWELI, KUULIZA SIYO CHUKI BINAFSI. NI HAKI YA SISI WANANCHI AMBAO KIMSINGI NI WAAJIRI WAKE TUJUE KILICHOMPATA MTUMISHI WETU. AMESEMA ALILISHWA SUMU NA WATU WAKUBWA...TUNATAKA TUJUE ILI MAWAZIRI WENGINE WASIPATE MATATIZO HAYO TENA UKIZINGATIA HAO WAUAJI BADO WAPO MITAANI KITU AMBACHO NI HATARI KWA MAISHA YA WANAOFANYA KAZI KWA KUJITUMA KAMA MAGUFULI. SIWEZI KUANDIKA WARAKA (WEWE UMESEMA WALAKA....NADHANI UNAMAANISHA HILO, KWA KUKUSAIDIA JARIBU KU-PROOF READ KABLA HUJAACHIA MAANDIKO YAKO) KWENYE GAZETI...MBONA WEWE HUJAANDIKA KWENYE MAGAZETI, HAPA UNAFANYA NINI? UNAONA ANAYOYAFANYA NI MAZURI...AU MAHABA NA MSUKUMA MWENZIO YANAKUSUKUMA UANDIKE ULIYOYAANDIKA?
 
Naona unakurupuka, nahaki ya kuandika wewe umeuliza swali kwangu nimekutaka muulize yeye ndiye mhusika. Mie nimekupa taharifa ya kile nilicho kisikia wakati huo. Au unaruhusiwa kufungua kesi kumtaka Rais atoe maelezo kwa umma nini kilitokea. Natumaini chini ya Administrative Law waweza fanya hivyo. Pia nawe jaribu ku proof read unapoandika, (siyo halafu bali ni harafu) nimekumbuka msemo usemao nyani haoni kundule. Pia swala la ukabila ni weye mie sina ushabiki huo. Nimetowa maelezo nini kilitokea kwamba nilisikia kipindi hicho. Nashangaa povu linakutoka unaongelea kabila. Samahani mimi sihitaji kutambika. Hivyo makabila kwangu hayanihusu. Tanzania ya leo unaongelea ukabila!
 
Tanzania ya leo naongelea ukabila? Wewe unaona Magufuli anafanya nini anavyowabeba kanda yako ya ziwa na wasukuma wenzio? Huoni ukabila anaoendekeza? Wewe kwa ufikiri wako unaona unasema siyo "HALAFU' ila ni 'HARAFU" umesoma shule gani na hadi darasa la ngapi na kama ulifaulu somo la Kiswahili.
 
Kwa kifupi sina mawazo kama yako mafupi ya kuongelea ukabila. Mie naongelea "Facts in issue" na base katika (material not immaterial). Kwa taarifa mie sijasoma hata hilo darasa la saba sikumaliza. Unajingine tena? Pia kiswahili nilipata zero. Umeridhika!
Wewe uliesoma naunae fahamu kiswahili fasaha, mbona umesahau mada yako ya awali unarukaruka hujui nini ulichokuwa ukibishania! Hongera kwako, mwana wa ukabila! Mie nampenda Rais wangu na najivunia nchi yangu.
 
Unampenda rais anayepoteza watu, asiye na hekima wala maarifa. Sishangai umefanana naye. Nenda kachukue kozi ya Kiswahili, haupo usukumani.
 
Hivi umepewa cheo cha kutoa maamuzi mtu ampende kiongozi wa aina gani? Nielekeze sehemu ya "kuchukua hiyo kozi" ya kiswahili ili niongee kwa istilahi mwanana au murua. Kwanza katika kiswahili hatuna neno "kuchukua kozi" bali tuna "kusoma kozi" Unaweza dhani wafahamu kiswahili lakini matumizi sanifu ya lugha ya Kiswahili ukawa hujui, japo waona wafahamu. Hii uitwa "Common mistakes" hata kwa lugha ya kiingereza kuna "Common Mistakes in English" vivyo hivyo katika Kiswahili. Hongera kwa ufahamu wako wa kiswahili! na pia je, unauhakika rais anapoteza watu kama unavyosema? Unaushahidi huo? Au wafuata upepo tu pasipo kuwa na uhakika wa kile usemacho? Shida umesikia fulani kasema! Kumbuka ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba! Na pia "Hearing evidence is not evidence at all! Hii ni kanuni ya ushahidi wa kusikia. Namalizia kwa kurudia I love my president and I love my country Tanzania.
 
Aache kutafuta kiki kwa uongo. Alikuwa wapi ndo aseme leo kisa uchaguzi umekaribia????Pia hakuna ushahidi wowote kama jinsi digrii yake ya korosho isivyo na ushahidi.
NB.Hongera kwa ujasiri wa kusema uongo mchana kweupeeee! Hiyo ndo pombe eti!
 
Back
Top Bottom