Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Point kwann Africa haipati viongozi bora tofauti na ulaya means Mungu atupendi sie tumepewa madikteta tu waletao shida na ufukara tofauti na ulaya
Probably the whole thing begins with our behaviours, and that is what compels God to give us the kind of leaders we deserve.
 
Ben Saanane naye alisema wakati huo "Namtakia Nafuu".
Dunia ingependeza sana ingekuwa hivi.

BTW: kuna aliyethibitisha kwamba ilikuwa 'sumu"? Mkemia Mkuu alipima? au Maabara yoyote?
Taarifa ilisema 'shinikizo la damu.'
 
Who change and shape our behavior why Africa
Good question, BUT I will prefer not to turn this thread into a theological debate.
For these ideas are not relevant to non-believers like our camaraderie Kiranga and co.
 
Mwenye nakala ya hiyo Memoirs ya Mkapa atuwekee hapa tusome. Hivi vibwagizo siyo muhimu sana kwa JF GT original
 
Poleh sana kwa Mh Rais
Nimejiskia vibaya kwa madhila aliyopitia na hali ile kumfanya hata asisifie wateule wake kwa lengo la kuwalinda na vijicho

Uongozi kwa kweli ni mtihani mkubwa
 
Amen

a classic example of weapons shall be formed but they wont prosper
 
Ila tuache utani. Tanzania kuna amani sana. Rais wa nchi ananyweshwa sumu halafu hata jalada halifunguliwi polisi.

Maajabu zaidi huyo aliyenyweshwa sumu anawajua mpaka waliomnywesha hiyo sumu lakini anaamua kumezea tu..

Maaskari nao wanasikia hizo tuhuma wala.hawajigusi kuanzisha upelelezi.

Amani imetamalaki kama peponi.
 
Magufuli hakupewa sumu, ni muongo tu, anajihisi sana.

Naamini alikula sana aka vimbewa.

Hiyo sumu gani isiyodhuru?!

Angefariki ningeamini.


Nimepaliwa pilau hapa mmjaman...uwiii....nimechekaaaaa🤣🤣🤣!haaahhaahah ww jamaaa ww uwioo🤣🤣🤣...yaan nimechekaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…