Angekuwa mandela makaburu wangefutikaLazima kasha deal nao
Huyo mtu huwezimfanyia ubaya kiasi hiko alafu akuache salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa mandela makaburu wangefutikaLazima kasha deal nao
Huyo mtu huwezimfanyia ubaya kiasi hiko alafu akuache salama
Uwe na akili ww,zito hajaalikwa na jiwe,kaalikwa na mkapa,tatizo una mahaba mabaya ya kupitiliza na jiwe,vibaya hivyo
Magufuli augua ghafla, alazwa
Naomba mnijuze juu ya uvumi wa kuwa waziri wa miundombinu yupo dodoma anaumwa na kuna mdogo wangu kaniambia hilo ====== UPDATE: WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana (Aprili 18, 2012) aliugua ghafla akiwa kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma na kupelekwa katika Hospitali ya Mkoa ambako...www.jamiiforums.com
Acheni kumlisha maneno alisema kabla ya kuupata ndio alikutana na dhahma hiyo kaamua kusamehe fimbo watachapwa na MunguIla tuache utani. Tanzania kuna amani sana. Rais wa nchi ananyweshwa sumu halafu hata jalada halifunguliwi polisi.
Maajabu zaidi huyo aliyenyweshwa sumu anawajua mpaka waliomnywesha hiyo sumu lakini anaamua kumezea tu..
Maaskari nao wanasikia hizo tuhuma wala.hawajigusi kuanzisha upelelezi.
Amani imetamalaki kama peponi
.
Hapa unadhihirisha ushamba wako na utoto ilitangazwa Sana kipindi kile
Wale waliomnywesha sumu Rais wetu bado wapo wachukuliwe hatua iwe funzo kwa wengine
Thubutu kwa shetani Jiwe, kama wako hai watakuwa mukamira prison, unamjua Jiwe unamsikia bora ukutane na shetani unaweza kupona lakini sio Jiwe.Hao waliompatia sumu kweli mpaka leo wangali hai & huru uraiani
Angefunguka na jinsi alivyouza nyumba za serikali kwa hawara yake Sundi na mdogo wake Musa Magufuri, kununua kivuko kibovu hayo ndio makubwa.Kweli Mkuu Mzee anafunguka makubwa mno
Siasa kitu kibaya sana kwakweli,hasa Afrika
Yasadikiwa alipigwa na Piemu wa wakati huo, sababu kubwa iliyodhaniwa ni harakati za urais 2005. Alienda tibiwa nje ya nchi fasta kwa ndege ya dharura.Kuna mengi yanatokea hayajulikani nadhani ukiyasikia huwezi kutamani kuwa yanafanyika Tz,ila waliohusika kwa Jiwe watakuwa wanaisoma namba.
Ila mlikuwa active na tayari mlikuwa mmeanza kuijua Tz politics mnaweza kutupa hali ilikuwaje kipindi hicho
[IMG alt="Kawe [ATTACH type="full"]1261670[/ATTACH]Hilo ni tukio la juzi tu we kiazi
Ha Ha Ha Ha ndivyo anavyotaka mzee MekoNaipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuwezesha rais Magufuli kuzindua kitabu cha rais mstaafu Mkapa.
Happy birthday Ben.
Alikula akazidisha kipimo akavimbewa, akahisi kapewa sumu.
Ni muongo yeye ni mtu wa kujihisi siku zote.
Hiyo simu ilikuwaya mbu hadi isimdhuru yeye?!
Ukute mtu alikula tu kumbikumbi huko wakamdhuru basi alidhani kawekewa sumu
Ni hisia tuu,si anajiona Bora Sana!Najiuliza tu hapa why hawakuchukuliwa hatua? Maana inaonyesha wanafahamika vizuri sana.
Upo wewe muuza biriani mitaa ya lumumba ??Wewe ni tahira nimeamua nikupuuze Sasa
Mema sana. Ni ajabu wengine humu kudhani Mungu alimlinda Rais Magufuli asife kwa sumu ili kuleta mema tu. Wanasahau kuwa amekuja na 'wasiojulikana!!!'Hakuna kitu kigumu Kama kuijua dhamira ya Mungu! Kwa hiyo sisi tuishi tu, na Mungu atalinda wema na wabaya kwa matumizi yake anayojua yeye mwenyewe kama kutoa elimu au hata kurekebisha umati wa binaadam Duniani!
NB: Vita kuu ya pili imetoa elimu kubwa sana kwa binaadam kisiasa, kisayansi na kiuchumi na ilikuwa muhimu sana kabla ya huu mlipuko mkubwa wa sayansi na teknolojia tuliopata kwa muda mfupi!
Cha ajabu Yesu Mnazarethi ya Galilaya ya Mfalme Herode, alikataa ku submit kwa Mfalme huyo mwovu alipopata habari kuwa anataka kumuua, akisema: "Nendeni mwambie yule mbweha..."Kama wewe ni mtu wa kuamini Mungu wa dini za Israel na Uarabuni basi ujue mfalme au raisi yeyote hata umuone katili au mbaya ujue ameletwa na kusimikwa na Mungu kwa makusudi flani.
Huenda ikiwa kutokana na kukithiri kwa uovu au madhambi flani kwa walioletewa huyo kiongozi au for greater good of the mankind in general.
Soma hapo chini ukizingatia maandishi yaliyo kolezwa wino(bold font).
Romans 13:1
Every person is to be in subjection to the governing authorities For there is no authority except from God, and those which exist are established by God.
1 Peter 2:13-14
Submit yourselves for the Lord's sake to every human institution, whether to a king as the one in authority, or to governors as sent by him for the punishment of evildoers and the praise of those who do right.