Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Hilo ni tukio la juzi tu we kiazi
 
Acheni kumlisha maneno alisema kabla ya kuupata ndio alikutana na dhahma hiyo kaamua kusamehe fimbo watachapwa na Mungu
 
Kuna mengi yanatokea hayajulikani nadhani ukiyasikia huwezi kutamani kuwa yanafanyika Tz,ila waliohusika kwa Jiwe watakuwa wanaisoma namba.

Ila mlikuwa active na tayari mlikuwa mmeanza kuijua Tz politics mnaweza kutupa hali ilikuwaje kipindi hicho
Yasadikiwa alipigwa na Piemu wa wakati huo, sababu kubwa iliyodhaniwa ni harakati za urais 2005. Alienda tibiwa nje ya nchi fasta kwa ndege ya dharura.
 
Naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuwezesha rais Magufuli kuzindua kitabu cha rais mstaafu Mkapa.
Happy birthday Ben.
Ha Ha Ha Ha ndivyo anavyotaka mzee Meko
 
Mema sana. Ni ajabu wengine humu kudhani Mungu alimlinda Rais Magufuli asife kwa sumu ili kuleta mema tu. Wanasahau kuwa amekuja na 'wasiojulikana!!!'
 
Cha ajabu Yesu Mnazarethi ya Galilaya ya Mfalme Herode, alikataa ku submit kwa Mfalme huyo mwovu alipopata habari kuwa anataka kumuua, akisema: "Nendeni mwambie yule mbweha..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…